Mpina ampongeza Rais Samia kwa kumuondoa January Makamba TANESCO, alihusika na ufisadi wa kutisha

✍️ "Ama kweli Nyani hasau 'kundile!'" SG@👨‍🔧
 
Hakyanani kampeni zipo kazini..
 
chuki binafsi na magubu yasiyoisha dhidi ya wengine yataendelea kuchochea mihemko na kuchakaza nafsi na mioyo ya watu wengi mno yasipobadilika na kua msamaha, huku wanaochukiwa wakaendelea kutusua na kusonga mbele 🐒
👏👏
 
Kwanza kabisa Makamba alifutiwa matokeo ya mtihani wa fomfoo akiwa kijana mdogo. Jiulize kwanini alifutiwa matokeo? Kumbuka sio shule iliyofutiwa, January ndio alistukiwa na Baraza la mitihani.
Alisemaga yeye mwenyewe.

Duh, tuhuma nzito hii
 
Mbakama rinuja?

Hajawahi kufaa popote pale..., sema tu kwenye mafamilia kuna siri kubwa, huwenda hata hapo kwao alikuwa mpigaji sana, mtu hawezi kuacha chenji mezani
Galanosi Shule ya upili wanasema alikuwa mtu mwema Sana katika kusaidia wenzie kimasomo
 
Kwanza kabisa Makamba alifutiwa matokeo ya mtihani wa fomfoo akiwa kijana mdogo. Jiulize kwanini alifutiwa matokeo? Kumbuka sio shule iliyofutiwa, January ndio alistukiwa na Baraza la mitihani.
Alisemaga yeye mwenyewe.
Januari na Makonda wako sawa tu kwenye suala la vyeti. Wote watu wa forgery
 
Kama alikuwa na hizo tuhuma kwanini ampongeze rais kwa kumbadilisha wakati ilistahiki amuondoe kabisa na ikibidi awe Mahakamani au Kolokoloni?
 
Anatakiwa ajibu tuhuma hizi lasivyo huko aliko ajiuzulu maana tumemuona anasaini mamikataba tele huko uturuki nk. Asije akaiuza nchi huyu msambaa
Huyo hawezi kuwa ni mtu mfitini sana na watu wengi hawampendi hasa Kanda ya ziwa!
 
Takukuru Huwa wanafanya kazi Gani Sasa?ufisadi wa makamba unatisha lakini Takukuru wanakenua meno tu
Siasa Za Tanzania Unazijua Ama Unawapa Lawama Hao Unaowataja?
Huwa Siasa Ipo Mbele Zaidi Ya Ujuzi Na Uwajibikaji
Mpina Kasema Hivyo Wazi Yupo Wapi Mteuaji Ili Aanze Naye
 
Mfano wa ufisadi ni kuajiri wafanyakazi 6 bila kutoa tangazo wala kuwafanyia interview, wafanyakazi hao walikuja kuhusika moja kwa moja na katakata ya umeme iliyokuwa imeshika kasi nchini
Kuna sehemu humu JF nilisema kuwa kuna mkakati mrefu sana wa kuwaajiri watu watakao hujumu hizi taasisi za Serkilali/mashirika ya umma. Na wamefanya hivyo Kwanza kwa kuifanya Idara ya Utumishi kuwa ni kikwazo cha kuharakisha ajira-pili wakamjaza uwongo, SSH akafungua sikio, akaruhusu mashirika haya ya Umma kuajiri watu bila ya kufanyiwa background na serikali-matokeo yake ndio kama hayo.

Mashirika yetu yanatengeneza hela nyingi sana, na ndio maana makampuni makubwa duniani ulimi unawatoka kuyataka mashirika yetu-ni Money guaranteed.

Case study: Shirika la Umeme la Puerto Rico
 
Huyu mpina nae ni walewale.... Kwani hatujui ufisadi na uuwaji alioufanya Kanda ya ziwa kwa wavuvi?, ameua na kutesa wavuvi bila huruma. Anayasema haya yote sababu yupo nje ya mfumo. Watu wa Aina ya mpina ni hatari Sana, amalizie ubunge wake asitegemee kurudi 2025.
 
Kwani aliyemteua makamba alikua nani?

Je baada kuondolewa wizarani kwanini aliteuliwa tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…