Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, ameibua taharuki bungeni leo Mei 14, 2025, baada ya kumvaa vikali Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo, wakati wa mjadala wa bajeti ya wizara hiyo.
Mpina amesema wizara hiyo imekuwa ikishindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo, hususan katika kudhibiti bidhaa feki zinazoingia kwa wingi nchini, hali aliyoiita ni "aibu na huzuni kwa taifa."