Mpina Anastahili Ulinzi, ni Mwanasiasa mkweli mwenye uthubutu na njia mbadala

Mpina Anastahili Ulinzi, ni Mwanasiasa mkweli mwenye uthubutu na njia mbadala

voicer

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2020
Posts
5,545
Reaction score
11,935
Ilianzia hapa!
[emoji116]

Kisha ikafuatia hapa!
[emoji116]

Kisha sikiliza hoja ya Mpina!
[emoji116]

Kwa sababu,nchi hii watu wakweli ndio wanawindwa kuliko majambazi na Mafisadi!
Ameamua kwa dhati,kujitwisha msalaba wa kuwatetea wanyonge dhidi ya kundi kubwa la Madhalimu nchini!

Anaziona kero za ufisadi mkubwa,na kuusema bila hofu!

Amekubali kuuweka ubunge wake ndani ya CCM rehani!
Ilimradi ameusema unyang'anyi mkubwa wa genge hili ndani ya CCM.

Mpina anastahili kupewa Ulinzi na Serikali.

Kwa sababu!
Nchi hii watu wakweli kama Mpina wanawindwa kama swala!
 
Huyo kwangu ndie mbunge anayejitambua kule bungeni kwa sasa, ndie pekee anayetoa hoja nzito zinazowaumiza vichwa wahusika na kukosa majibu ya kuridhisha.

Hata kama itasemwa aliingia bungeni kwa njia zisizo halali, lakini kwa kutetea kwake maslahi ya taifa na kuweka pembeni maslahi yake na chama chake, anastahili pongezi kwa kuwaamsha watendaji serikalini watimize wajibu wao.
 
Anaongeaga ujinga ndo mana mwigulu amempa shule ya maana na kumwonyesha kwamba hajui chochote kuhusu uchumi ispokuwa uchawi tu. Kinachowacost Watanzania wengi ni elimu duni hawaelewi chochote ndo mana wamebaki wanashabikia tu anayefoka bila content ili mradi aonekane aneiponda serikali. Hapa ndo utajua kwa nini watu mbumbumbu walimpenda sana Jpm ukiwauliza kwa Nini wankwambia alikuwa anaongea kwa kufika Hadi Raha.
 
Mh.Mpina alikua mbunge wakati wa awamu ya tano?kuna mwenye clips zake kuhusu mchango wake bungeni kipindi cha mwendazake, maana ya kuuliza hii ni kutaka kujua impartiality ya Mhe huyu
 
Huyo kwangu ndie mbunge anayejitambua kule bungeni kwa sasa, ndie pekee anayetoa hoja nzito zinazowaumiza vichwa wahusika na kukosa majibu ya kuridhisha.

Hata kama itasemwa aliingia bungeni kwa njia zisizo halali, lakini kwa kutetea kwake maslahi ya taifa na kuweka pembeni maslahi yake na chama chake, anastahili pongezi kwa kuwaamsha watendaji serikalini watimize wajibu wao.
Uko sahihi denooJ !

Ukiona watu wanaong'ang'ania hoja hiyo!
Ujuwe kabisa kwamba wametawaliwa na ubinafsi,kwao ni kuwaza ubunge walioukosa tu!

Kamwe sio watetezi wa wapiga kura wao,bali hufuata Pesa Bungeni!
 
Mh.Mpina alikua mbunge wakati wa awamu ya tano?kuna mwenye clips zake kuhusu mchango wake bungeni kipindi cha mwendazake, maana ya kuuliza hii ni kutaka kujua impartiality ya Mhe huyu
Nitakuletea,yeye alikuwa waziri wa Uvuvi,alisimamia zoezi la kupambana na uvuvi haramu ziwa Victoria.
Jambo lililopelekea samaki kuongezeka katika ziwa hilo.

Na sasa tumeambiwa na kamati ya bunge,kwamba Samaki Ziwa Victoria wamepungua kwa 50%,na pia Samaki wazazi wakielekea kuisha kwani wamebakia 0.4%.
Msikilize tena!
 
A

Anaongeaga ujinga ndo mana mwigulu amempa shule ya maana na kumwonyesha kwamba hajui chochote kuhusu uchumi ispokuwa uchawi tu. Kinachowacost watanzania wengi ni elimu duni hawaelewi chochote ndo mana wamebaki wanashabikia tu anayefoka bila content ili mradi aonekane aneiponda serikali. Hapa ndo utajua kwa nini watu mbumbumbu walimpenda sana Jpm ukiwauliza kwa Nini wankwambia alikuwa anaongea kwa kufika Hadi Raha.
Rudia Clip ya mwisho ya Mpina...hii hapa!
Wacha Uzwazwa!

Mpina anasimama na ripoti ya Mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za Serikali. "CAG"

Hatowi tuhuma nyumbani kwake,anairudia ripoti ya kamati ya bunge hilohilo!

#Mwigulunchemba anapaswa kujibu kwa vielelezo na sio mipasho!
Ni aibu kuwa na waziri Kilaza kama huyu,kwenye wizara nyeti kwa taifa!

Hiyo mipasho alipaswa kumpa CAG, kama ni Uongo....basi muongo ni CAG na sio Mpina!
 
Nani kilaza kati ya mpina mwenye gpa ya 2.1 na mwigulu mwenye gpa ya 4.6 udsm tena ya uchumi.
 
A

Anaongeaga ujinga ndo mana mwigulu amempa shule ya maana na kumwonyesha kwamba hajui chochote kuhusu uchumi ispokuwa uchawi tu. Kinachowacost watanzania wengi ni elimu duni hawaelewi chochote ndo mana wamebaki wanashabikia tu anayefoka bila content ili mradi aonekane aneiponda serikali. Hapa ndo utajua kwa nini watu mbumbumbu walimpenda sana Jpm ukiwauliza kwa Nini wankwambia alikuwa anaongea kwa kufika Hadi Raha.
Wewe ni sehemu ya lile kundi,ni vigumu sana kuona logic kwenye hoja za mpina,
 
Waziri wa elimu ameingiaje hapa.
Ndiye jana ameelezea shida za ranking hizo za elimu Tanzania, GPA hai reflect uwezo wa mtu kwakua wapo wenye GPA za 4.8 lakini hawa relate na hizo so do not be obessed, pengine mmoja alitumia muda wake kuelewa akakosa marks za mwl za kukariri majibu na mwingine alikariri vizuri lakini hakung'amua maana ya alichokikariri

Unapoangalia hoja weka "vyeti" i.e persons pembeni, jadili hoja
 
Uki
Ndiye jana ameelezea shida za ranking hizo za elimu Tanzania, GPA hai reflect uwezo wa mtu kwakua wapo wenye GPA za 4.8 lakini hawa relate na hizo so do not be obessed, pengine mmoja alitumia muda wake kuelewa akakosa marks za mwl za kukariri majibu na mwinhine alikariri vizuri lakini hakung'amua maana ya alichokikariri
Ukielewa lazima ufaulu. Huwezi kuelewa halafu ukafeli. Acheni kulishana ujinga
 
Uki

Ukielewa lazima ufaulu. Huwezi kuelewa halafu ukafeli. Acheni kulishana ujinga
Kuelewa ina implication ya time...Kama alielewa hiyo GPA ingeji reflect kwenye utendaji wake so far uchumi una yumba sana why?

Na actually kuanza ku refere kwenye vyeti ni ishara ya inferiority complex inamaana haamini hata kama hiyo GPA ni kweli aliipata...
 
Back
Top Bottom