Mpina Anastahili Ulinzi, ni Mwanasiasa mkweli mwenye uthubutu na njia mbadala

Mpina Anastahili Ulinzi, ni Mwanasiasa mkweli mwenye uthubutu na njia mbadala

Kuelewa ina implication ya time...Kama alielewa hiyo GPA ingeji reflect kwenye utendaji wale so far uchumi una yumba sana why?
Ndo mana utendaji wa mwigulu ni WA kitukuka na huweziona wajuzi wa mambo na wachumi wabobezi wakimkosoa kwa lolote ispokuwa mbulula kama wewe na mpina
 
Nani kilaza kati ya mpina mwenye gpa ya 2.1 na mwigulu mwenye gpa ya 4.6 udsm tena ya uchumi.
Itapendeza ukituwekea cheti chake hapa tukione, hata hivyo, ufaulu wa kukariri darasani tumeshaona mara nyingi hauna reflection yoyote kwenye maisha ya kawaida.

Ndio maana huyo Mwigulu mwenye GPA uliyoitaja, ameishia kubuni tozo tu ili kuongeza pato kwa serikali, na kuzidi kumnyonya mwananchi wa kawaida..
 
Ndo mana utendaji wa mwigulu ni WA kitukuka na huweziona wajuzi wa mambo na wachumi wabobezi wakimkosoa kwa lolote ispokuwa mbulula kama wewe na mpina
Let me laugh....Uchumi wa kununua V8 ya 400M wakati shule haina tundu la choo, sasa hao wachumi kama wewe wanapatikana sayari ya wapi kwa mfano?
Unanilazimisha nikudharau ujue!
 
We
Let me laugh....Uchumi wa kununua V8 ya 400M wakati shule haina tundu la choo, sasa hao wachumi kama wewe wanapatikana sayari ya wapi kwa mfano?
Unanilazimisha nikudharau ujue!
We unafikiri uchumi ni vyoo babu. Nenda shule usome ujue Nini maana ya uchumi.
 
Juzi hapa alikuwa anashangaa samaki aina ya sangara wazazi kupungua ziwa victoria na itafanya tubakie n swimming pool wakati yeye mwenyewe wakati ni waziri wa mifugo na uvuvi alisaini sheria ya kuwavua hao samaki wazazi!!!!!! Huyu jamaa ni MNAFIKI Pro max, aende tu akajadili waganga wa kienyeji ndio saizi yake maana kutembea mwenyewe hawezi kila mahali yupo na mganga wake.
 
Mpina anastahili kupewa Ulinzi na Serikali.

Kwa sababu!
Nchi hii watu wakweli kama Mpina wanawindwa kama swala!
Anapewa na nani wakati wenye bunduki ni hao unaaowatuhumu
 
Ilianzia hapa!
[emoji116]

Kisha ikafuatia hapa!
[emoji116]

Kisha sikiliza hoja ya Mpina!
[emoji116]

Kwa sababu,nchi hii watu wakweli ndio wanawindwa kuliko majambazi na Mafisadi!
Ameamua kwa dhati,kujitwisha msalaba wa kuwatetea wanyonge dhidi ya kundi kubwa la Madhalimu nchini!

Anaziona kero za ufisadi mkubwa,na kuusema bila hofu!

Amekubali kuuweka ubunge wake ndani ya CCM rehani!
Ilimradi ameusema unyang'anyi mkubwa wa genge hili ndani ya CCM.

Mpina anastahili kupewa Ulinzi na Serikali.

Kwa sababu!
Nchi hii watu wakweli kama Mpina wanawindwa kama swala!

Njaa tu unamkaba, akishiba hutamsikia.
 
Hata kama itasemwa aliingia bungeni kwa njia zisizo halali,
Kama sikosei mpina aliingia bungeni siku moja na Jakaya Mrisho Kikwete alipochaguliwa Rais.... hahusiani na uchaguzi unaosema wewe
 
ispokuwa mbulula kama wewe na mpina
nimemfutilia mpina tangu enzi za kashfa za richmond, escrow na madudu yote machafu hajawahi kuwa mbulula labda wewe umemfahamu leo mpina waulize kina, Anna Makinda, jenista mhagama, job ndugai, simbachawene, lukuvi hao ndio wanamjua vizuri mpina tangu enzi hizo
 
mwigulu anaongea bila takwimu mpina anatumia taarifa ya cag na taarifa ya kamati ya bunge nani sasa hajui mambo anayeongea kwa takwimu au anayepiga tu kelele bila takwimu
Angekuwa anatumia taarifa ya cag angekuwa ameshaisema vibaya serikali ya jpm mana taarifa ya cag imejaa madudu ya jpm. Sema amejawa na chuki tu. Mwigulu anamweka sawa kila simu na kumuonesha hajui lolote mfano Jana tu kamwambia huwezi vuna usipopanda. Jpm alitufundisha kwamba tuvune bila kupanda ndo mana wawekezaji walikuwa wanakimbia nchi hii kila kukicha lakini yeye anakwambia yupo na wanyonge ambao hata hawalipi Kodi yoyote. Thanks for what God did to rescue our economy and our jobless people.
 
Ilianzia hapa!
[emoji116]

Kisha ikafuatia hapa!
[emoji116]

Kisha sikiliza hoja ya Mpina!
[emoji116]

Kwa sababu,nchi hii watu wakweli ndio wanawindwa kuliko majambazi na Mafisadi!
Ameamua kwa dhati,kujitwisha msalaba wa kuwatetea wanyonge dhidi ya kundi kubwa la Madhalimu nchini!

Anaziona kero za ufisadi mkubwa,na kuusema bila hofu!

Amekubali kuuweka ubunge wake ndani ya CCM rehani!
Ilimradi ameusema unyang'anyi mkubwa wa genge hili ndani ya CCM.

Mpina anastahili kupewa Ulinzi na Serikali.

Kwa sababu!
Nchi hii watu wakweli kama Mpina wanawindwa kama swala!

Nyie masalia ya marehemu mnajiona watu special sana. Rudini kwenu Burundi.
 
nimemfutilia mpina tangu enzi za kashfa za richmond, escrow na madudu yote machafu hajawahi kuwa mbulula labda wewe umemfahamu leo mpina waulize kina, Anna Makinda, jenista mhagama, job ndugai, simbachawene, lukuvi hao ndio wanamjua vizuri mpina tangu enzi hizo
Mbulula yule. Ulimsikia kipindi Cha jpm alisema lolote licha ya uchafu wa jpm hisusani kujaza machinga Barbarani na kuhadaa kila siku katoa ajira kumbe anarufisha wale wale waliopo tayari kwenye ajira. Mfano walimu elfu 13 aliotangaza baada ya kufatilia watu wakagundua walioajiriwa hawafikihata buku.
 
Kama sikosei mpina aliingia bungeni siku moja na Jakaya Mrisho Kikwete alipochaguliwa Rais.... hahusiani na uchaguzi unaosema wewe
2020 aligombea ubunge jimboni kwake ndio maana leo yupo bungeni, alishinda vipi ndio mantiki ya kauli yangu uliyo quote.

Habari za JK hizo ni za muda mrefu uliopita, hazitakiwi hapa.
 
Mbulula yule. Ulimsikia kipindi Cha jpm alisema lolote licha ya uchafu wa jpm hisusani kujaza machinga Barbarani na kuhadaa kila siku katoa ajira kumbe anarufisha wale wale waliopo tayari kwenye ajira. Mfano walimu elfu 13 aliotangaza baada ya kufatilia watu wakagundua walioajiriwa hawafikihata buku.
kipindi cha JPM alikuwa Waziri na kazi alizofanya tuliziona kwenye Mazingira alivyokuwa Naibu Waziri na Mifugo alipokuwa waziri na samaki zikaongeka viwanda vikaongezeka ajira zikaongeka uchumi ukaongezeka leo umesikia bungeni samaki wameisha uchumi umeanguka
 
Leta takwimu hapa kuonesha uchumi umeanguka. Takwimu zinaonesha kipindi kile ndo uchumi ulikuwa hoi hata consumption rate ya watu ilizidi kudidimia Leo hii nenda bar uone jinsi watu wanavyotumia mpaka laki mbili kwa siku na mabaa yote yanajaa siku hizi. Enzi za jpm ukinywa bia mbili tu we mwanaume. Maana yake ni kwamba mzunguko wa pesa umekuwa mzuri na WA kuridbisha sana ndo mana watu Wana hela na huo ndo uchumi
 
A

Anaongeaga ujinga ndo mana mwigulu amempa shule ya maana na kumwonyesha kwamba hajui chochote kuhusu uchumi ispokuwa uchawi tu. Kinachowacost watanzania wengi ni elimu duni hawaelewi chochote ndo mana wamebaki wanashabikia tu anayefoka bila content ili mradi aonekane aneiponda serikali. Hapa ndo utajua kwa nini watu mbumbumbu walimpenda sana Jpm ukiwauliza kwa Nini wankwambia alikuwa anaongea kwa kufika Hadi Raha.
Kwani mwigulu anajua nini kuhusu uchumi
 
2020 aligombea ubunge jimboni kwake ndio maana leo yupo bungeni, alishinda vipi ndio mantiki ya kauli yangu uliyo quote.
kama hakushinda aliyeshinda ni nani? na kwanini hayuko bungeni kututetea wananchi?
 
Mchumi mbobezi. Nenda pale B.O.T jina lake lipo na udsm pia
kuwa mchumi mbobezi sio kujua mambo...mwigulu inaonekana alikuwa bingwa wa kukariri ndio maana akafaulu vizuri ila sio msomi mzuri
 
Back
Top Bottom