Pre GE2025 Mpina anatumia nafasi hii ili arudi kwenye uwanja wa siasa baada ya kupotea kwenye ramani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

CCM MKAMBARANI

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2017
Posts
2,031
Reaction score
1,514
Habari za wakati huu wanajamiiforum?

mpin.png

Tumekuwa na mkanganyiko mkubwa wa kitaifa juu ya scandali ya sukari hapa nchini.

Kinara ni mtu ambaye amekuwepo bungeni kwa miaka 19 sasa, je hajui uozo uliokuwepo wakati wa baba yake Magufuli?

Jibu ni hapana,alikuwa anajua na alifaidika na mfumo. Mpina kahodhi ardhi kubwa sana mkoani Morogoro na hataki kuiendeleza.

Mpina amewahi kutoa taarifa ili kujikinga na uovu wake, alitaka kampuni yake ya Mpina Holding, iliyosajiliwa Brela kwa na. Brl/656/56/2020

Huyu mtu anataka kionekana makini lakini hana uwezo huo sababu ni wazi anajua anakwenda kupoteza muelekeo na hakuna wa kumpa nafasi tena serikalini.

Tutaendelea kutoa taarifa zake ili umma ujue ukweli kuhusu yeye.

Wakati mwema.

====

Pia soma:
 
Habari za wakati huu wanajamiiforum?
Tumekuwa na mkanganyiko mkubwa wa kitaifa juu ya scandali ya sukari hapa nchini.

Kinara ni mtu ambaye amekuwepo bungeni kwa miaka 19 sasa,je hajui uozo uliokuwepo wakati wa baba yake Magufuli?

Jibu ni hapana,alikuwa anajua na alifaidika na mfumo.Mpina kahodhi ardhi kubwa sana mkoani Morogoro na hataki kuiendeleza.

Mpina amewahi kutoa taarifa ili kujikinga na uovu wake,alitaka kampuni yake ya Mpina Holding,iliyosajiliwa Brela kwa na.Brl/656/56/2020

Huyu mtu anataka kionekana makini lkn hana uwezo huo sababu ni wazi anajua anakwenda kupoteza muelekeo na hakuna wa kumpa nafasi tena serikalini.

Tutaendelea kutoa taarifa zake ili umma ujue ukweli kuhusu yeye,

Wakati mwema.
Hizi ni stori. Jibuni hoja za scandal ya sukari. Stationary kupewa vibali vya ku import Sukari. Bizi za Mpina sijji kafanya hiki au kile tulisha ambiwa miaka kibao iliyo pita.
Ukifumaniwa usi jitetee mbona na wewe ulisha fanya? Jibu hoja.
 
CCM WAKIANZA KUUMBUANA WANAANZA KUFICHUANA. BADO DK TULIA NAYE NA MWIGURU BENDI HUKU JANUARY TUNASUBIRI MWEZI WA MWAKA 2025
 
Habari za wakati huu wanajamiiforum?

Tumekuwa na mkanganyiko mkubwa wa kitaifa juu ya scandali ya sukari hapa nchini.

Kinara ni mtu ambaye amekuwepo bungeni kwa miaka 19 sasa, je hajui uozo uliokuwepo wakati wa baba yake Magufuli?

Jibu ni hapana,alikuwa anajua na alifaidika na mfumo. Mpina kahodhi ardhi kubwa sana mkoani Morogoro na hataki kuiendeleza.

Mpina amewahi kutoa taarifa ili kujikinga na uovu wake, alitaka kampuni yake ya Mpina Holding, iliyosajiliwa Brela kwa na. Brl/656/56/2020

Huyu mtu anataka kionekana makini lakini hana uwezo huo sababu ni wazi anajua anakwenda kupoteza muelekeo na hakuna wa kumpa nafasi tena serikalini.

Tutaendelea kutoa taarifa zake ili umma ujue ukweli kuhusu yeye.

Wakati mwema.
Inawezekana ni kweli unayosema. Vipi ule ushahidi na uongo wa bashe alioutoa mbona mmeshindwa kuuopinga ushahidi wake. Huo ufisadi uweke hadharani kwanza.
 
Lete fact ,mpina ameweka ukweli
alichoma nyavu za wavuja jasho kufisidi kipato chao, kisha akanyonga mamilioni vifaranga baada ya kunyimwa asali na wafanyabiashara, na baadae akaja kutuchekesha sasa live, pale kwenye kupima kwa rula size ya ukubwa wa samaki waliorostiwa vizuri sana kwa nazi 🤣

dah,
jamaa alikuaga anajiamini, halafu alikua na majivuno, jeuri na kiburi ya madaraka ya kulevya dah 🐒
 
Habari za wakati huu wanajamiiforum?

Tumekuwa na mkanganyiko mkubwa wa kitaifa juu ya scandali ya sukari hapa nchini.

Kinara ni mtu ambaye amekuwepo bungeni kwa miaka 19 sasa, je hajui uozo uliokuwepo wakati wa baba yake Magufuli?

Jibu ni hapana,alikuwa anajua na alifaidika na mfumo. Mpina kahodhi ardhi kubwa sana mkoani Morogoro na hataki kuiendeleza.

Mpina amewahi kutoa taarifa ili kujikinga na uovu wake, alitaka kampuni yake ya Mpina Holding, iliyosajiliwa Brela kwa na. Brl/656/56/2020

Huyu mtu anataka kionekana makini lakini hana uwezo huo sababu ni wazi anajua anakwenda kupoteza muelekeo na hakuna wa kumpa nafasi tena serikalini.

Tutaendelea kutoa taarifa zake ili umma ujue ukweli kuhusu yeye.

Wakati mwema.

View: https://youtu.be/c7p4CG6ctoA?si=UwFUu0tiUX9oQnX6
 
nadhani itapendeza zaidi akishikilia hapohapo mkiwa pande hizo za ubunifu wa tuhuma zao ungo pamoja nae au sio gentleman?🐒
Tuhuma za uongo? Hivi umejaza matope kichwan? Mara ngapi, katika mambo mangapi MPINA kasema, katoa ushahidi, imethibitika .

Unahisi Kwa ubunge tu wa kawaida wa Mpina , anaweza kua na access na Shahidi za namna Ile ?. Nyuma ya MPINA tupo Wazalendo..

Shahidi za MPINA ni za kweli na haki , in fact MPINA ni Mwanadam asiyena hulka ya UONGO AU MAJUNGU.

YULE NI MSOMI ALOSOMA NA AKABARIKIWA UWEZO WA KUWEKA KWENYE MATENDO KILE ALICHOSEMEA.

ANA IQ KUBWA !!.

KAZI KWENU SASA KUTHIBIBITISHA UONGO WA MPINA..
YEYE ALISHATHIBITISHA UKWELI WAKE.
 
Habari za wakati huu wanajamiiforum?

Tumekuwa na mkanganyiko mkubwa wa kitaifa juu ya scandali ya sukari hapa nchini.

Kinara ni mtu ambaye amekuwepo bungeni kwa miaka 19 sasa, je hajui uozo uliokuwepo wakati wa baba yake Magufuli?

Jibu ni hapana,alikuwa anajua na alifaidika na mfumo. Mpina kahodhi ardhi kubwa sana mkoani Morogoro na hataki kuiendeleza.

Mpina amewahi kutoa taarifa ili kujikinga na uovu wake, alitaka kampuni yake ya Mpina Holding, iliyosajiliwa Brela kwa na. Brl/656/56/2020

Huyu mtu anataka kionekana makini lakini hana uwezo huo sababu ni wazi anajua anakwenda kupoteza muelekeo na hakuna wa kumpa nafasi tena serikalini.

Tutaendelea kutoa taarifa zake ili umma ujue ukweli kuhusu yeye.

Wakati mwema.
Pumbavu sukari imepanda bei wewe unaleta siasa
Nyie chawa mkoje??
 
Suala ni kwamba ayasemayo Mpina ni ya kweli au sio kweli ?????
Ya kupotea kwenye siasa au kuwepo it’s none of our business 🙄😳
 
Back
Top Bottom