Habari za wakati huu wanajamiiforum?
Tumekuwa na mkanganyiko mkubwa wa kitaifa juu ya scandali ya sukari hapa nchini.
Kinara ni mtu ambaye amekuwepo bungeni kwa miaka 19 sasa, je hajui uozo uliokuwepo wakati wa baba yake Magufuli?
Jibu ni hapana,alikuwa anajua na alifaidika na mfumo. Mpina kahodhi ardhi kubwa sana mkoani Morogoro na hataki kuiendeleza.
Mpina amewahi kutoa taarifa ili kujikinga na uovu wake, alitaka kampuni yake ya Mpina Holding, iliyosajiliwa Brela kwa na. Brl/656/56/2020
Huyu mtu anataka kionekana makini lakini hana uwezo huo sababu ni wazi anajua anakwenda kupoteza muelekeo na hakuna wa kumpa nafasi tena serikalini.
Tutaendelea kutoa taarifa zake ili umma ujue ukweli kuhusu yeye.
Wakati mwema.
====
Pia soma:
-
Luhaga Mpina: Usambazaji wa sukari haukuwa ukifanywa na mfanyabiashara mmoja wa Mwanza pekee, Waziri Bashe alidanganya