Mpina ataka kumuumbua Waziri Mwigulu bungeni, apatwa na kigugumizi, Spika ambana "mi sielewi"

Ati nini? ... asingeendelea kukalia kiti cha ...?
Hili liwaziri ni mashine kubwa hata the late alikuwa analigwaya. Sema Mpina ni jasiri. Labda wanajuana na pengine wanabifu. Ni jasusi bobevu. Linaijua Nchi ndani na nje. Kuna wakati Jiwe mambo yalimlemea likawa assigned wizara Internal affairs. Wajeuri wakashikishwa adabu. Nchi ikatulia. Siyo jamaa la kuchukulia poa. Ni mtu-kazi kwelikweli. Hata Mama analijua. Lipo fedha purposely.
Kwa nguvu lilizonazo serikalini lina ndoto ya kuja kuwa Kiongozi mkubwa kabisa wa Nchi hii. Maybe baada ya Mama.
Simpuli za hili jasusi-bobezi ni pamoja na hiki kijamaa kinaongoza Nishati pamoja chenzie cha Michezo. Ni hatari hivi vijamaa. Ni timu msoga. Wazee wao ndiyo wamekishika chama-dola. Wanaongoza dola kwa remote. Hupenyi mpaka wakutambue na kukuhakiki wasije waka-risk tena kama walivyokosea 2015.
Haijulikani ni nani atatuongoza baada ya awamu hii kati ya hii miamba miwili, yaani, Fedha na Nishati. Labda ilikwishajipanga. Vina akili na strategies Usipime. Hiki cha Michezo kwa wakati huo kinajua kitakujakuwa kiPM au kinaweza kuwa opted kuchukuwa nafasi aliyonayo Afande babake ili kuendelea kuimarisha chama-dola. Chama ni mali yao Usije ukajichanganya ujue!
Msoga Jr. haijajulikana sana. Inaonekana aliingizwa kwenye siasa siyo mapenzi wala karama yake. Sijui. Labda kadiri siku sinasonga atabadilika. Lakini anaweza kubadilika. Anampenda na kumheshimu mno Msoga Sr babaake. Lakini kwa vyovyote Msoga Jr. anaweza wakati huo kushika, aidha, Fedha au Mambo ya ndani.
Ooh, ni majitu yenye akili sana. Utafanya makosa makubwa kuyachukulia poa.
Hii ni tafakuri yangu binafsi.
 
Yote KWa yote, huyu spika sijui ccm ilikosa watu , yani anzia kuongea, mwonekano Iyo nafasi haimfahi,
madem sio bora kila mahali endeleeni kulazimisha kuwapa vyeo tu mkijakushtuka 2030 tayari mko shimoni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…