Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Jiwe lingemlinga kwenye paji kama Goliath ila kwa Bi tozo hilo ndo jembe jeshi la mwavulimwigulu asipokufa mwaka huu hafi tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiwe lingemlinga kwenye paji kama Goliath ila kwa Bi tozo hilo ndo jembe jeshi la mwavulimwigulu asipokufa mwaka huu hafi tena
Lakini ni kawaida Duniani hapa, watu aina ya LUHAGA MPINA kudidimizwa sana !.
Watanzania na Binadam waliowengi Wana kasumba ya kuwadown watu wanaonekana Bora.
Ndio sababu Heshima akupayo Mtanzania haitokani na Kile kilichobora ulichonacho, Bali wewe ni nani!!.
MUNGU WA ISRAEL AENDELEE KUMLINDA MH.LUAGA MPINA, AMPE AFYA NJEMA, ILI AENDELEE KUSOMA ,KUDADAVUA NA KUJA NA MAMBO YALIYO CHANYA.
Viva Magufuli Kwa Huyu Mbunge !!
Acha kufananisha mchicha na mtu muongoLeo Kawa mdogo kama mbegu ya mchicha!
Team asali mmekutana na fundoYote KWa yote, huyu spika sijui ccm ilikosa watu , yani anzia kuongea, mwonekano Iyo nafasi haimfahi,
Mbona mnakuwa wapumbavu kiasi hiki? Kuondolewa kwa waziri wa Fedha ndo hitaji muhimu la watanzania kwa sasa?Rais angekuwa anajua watanzania wanataka nini, hivi leo mwigulu asingeendelea kukalia kiti cha waziri wa fedha. Na rais kuendelea kushupaza shingo kwa ajili ya mwigulu anajipunguzia ushawishi kwa watanzania, sema hili la kupungua ushawishi chawa hawata mwambia, maana kazi yao kubwa ni mapambio. Maana hata malkia akiwa utupu wao haiwahusu. Ila kwa nia njema tu, na kwa maslahi mapana ya nchi yetu, haijarishi una chama au hauna chama. Ila mwingilu angemtafutia kazi nyingine ya kufanya. Ili kurudisha imani kwa watanzania, inayozidi kuporomoka siku hadi siku.
Acha roho mbaya.Yote KWa yote, huyu spika sijui ccm ilikosa watu , yani anzia kuongea, mwonekano Iyo nafasi haimfahi,
Ajaanza leo kukwepa mishalemwigulu asipokufa mwaka huu hafi tena
Mheshimiwa Nape wewe ni mtaalam,kwenye Hiro eneo tunakutegemea . Wewe ndie utakae tuokoa. Napendekeza aje kwako abatizwe ndipo andelee na huo uwokoaji..Naniliu wewe ndio mwokozi by Zungu
Utasema ni roho mbaya napokea, ila ukweli lazima kusemwa, kwenye hicho kiti Hana mvuto , pamoja na Zungu kuingiza watanzania kwenye matatizo ya tozo( Mungu anamuona) ila kwenye hicho kiti kidogo anamvuto, ila uyu hamna ,Acha roho mbaya.
Watu wake walishaenda na ruler kupima samaki mgahawa wa bunge na alishawahi kutajwa kama waziri kichaa huko Ulyankende Republic!Mataga ni mataga tu.
Huyo Mpina anaongea kwa kuwa sio waziri kwa sasa angekuwa waziri asinyanyua mdomo katu angebaki kugonga meza kwa kila neno analosikia.
Nibora Dr Msukuma?🎓 umezidisha utani🤠Utasema ni roho mbaya napokea, ila ukweli lazima kusemwa, kwenye hicho kiti Hana mvuto , pamoja na Zungu kuingiza watanzania kwenye matatizo ya tozo( Mungu anamuona) ila kwenye hicho kiti kidogo anamvuto, ila uyu hamna ,
Sema ndo hivyo nafasi za kuokota ila hapamtoshi pale, bora Dr Msukuma mzee wa kutema yai
tena popoma kabisa huyu. sijui huwa analipwa shilingi ngapi za uchawa wake kushadadia mambo ya hovyo ya hii serikali!Wewe jamaa huwa pumbavu sana
Mbona mnakuwa wapumbavu kiasi hiki? Kuondolewa kwa waziri wa Fedha ndo hitaji muhimu la watanzania kwa sasa?
Nilishampa jibu mwenzio na jibu na wewe naona linakufaa,Mbona mnakuwa wapumbavu kiasi hiki? Kuondolewa kwa waziri wa Fedha ndo hitaji muhimu la watanzania kwa sasa?
Elewa ndugu unaelimishwa, Waziri hawezi kuihoji Serikali wakati wa Kikao bungeni. Wana vikao vyao vya Baraza la mawaziri. Wawapo bungeni wao ni wajibu hoja zinazoulizwa/hoji wabunge. Huelewi?Kwa hiyo kwa mfano waziri wa afya akitaka ufafanuzi kutoka wizara nyingine inabidi afuate waziri husika ofisini kwake na sio kuuliza bungeni?
Ya ya ya ya ya ya ya ya😂🤣Kosa la mwigulu ni nn?