Richard mtao
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 262
- 361
Hahaahqh[emoji1787]Kawaida tu hiyo ndio trab na trat sasa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaahqh[emoji1787]Kawaida tu hiyo ndio trab na trat sasa....
Mimi mwenyew nilikuwa sielewi kitu.. ila nakushukuru namimi nimepata kuelewa kirefu cha hayo manenoNi kawaida tu
Inatokea mtu kusahau kirefu cha neno flani
TRAB-Tax Revenue Appeals Board
TRAT-hii ni Tribunal
This is Afrika[emoji1787][emoji1787]Walitaka kumpiga juju Ili wakalie Kiti.
Kwakwel binafsi sikumuelewa kabsaTRAT / TRAB imetuacha km tulivyo asante Mwigulu
Kinyiramba tena[emoji1787][emoji1787]Ukute alisahau neno la kitaalam akachomeka Kinyiramba
Hili litafichwa litapigwa dana dana hatutaamini.Kigumizi kimekuja baada ya kusikia zile Trillion 360 za makinikia.
Hapo nimemsifu Mpina .... Ameuliza swali ambalo Watanzania wengi tulikuwa tunataka majibu yake ....... "Kwa nini serikali ilikubali Billion 700 za makinikia wakati tulikuwa tupate Trillion 360 ..."
"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"
It's called collective responsibility.Mataga ni mataga tu.
Huyo Mpina anaongea kwa kuwa sio waziri kwa sasa angekuwa waziri asinyanyua mdomo katu angebaki kugonga meza kwa kila neno analosikia.
Nimecheka sanakapigwa na kitu kizito kichwani. maombi ya watanzania yameenza kujibiwa
Katiba ya chama na serikali inamtaka awe hivyo akienda kinyume ananyanganywa kadiMataga ni mataga tu.
Huyo Mpina anaongea kwa kuwa sio waziri kwa sasa angekuwa waziri asinyanyua mdomo katu angebaki kugonga meza kwa kila neno analosikia.
Hii inatupa picha kwamba, mamlaka au cheo havina nafasi katika hatma.Leo Kawa mdogo kama mbegu ya mchicha!
Oooh my Gosh[emoji849]Dr. Mwigulu is not a very intelligent person. Most of what he says rightly is in the written form. He can’t think fast and his personal understanding of many things is very low. That’s why he doesn’t know the long form of TRAB and TRAT.
Therefore, let’s nit blame him. It is the maximum capacity of his brain.
Waziri wako hajui maanake niniTRAB=Tax Revenue Appeals Board maarufu Kama 'Board'.
TRAT=Tax Revenue Appeals Tribunal maarufu Kama 'Tribunal.'
Kumdanganya Rais kwamba tozo wananchi walizikubali kitu ambacho hakikuwa kweliKosa la mwigulu ni nn?
100%"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"
Uchawi upo .
Weeee !!!mwigulu asipokufa mwaka huu hafi tena
Hahahahaaaa ............ unajua ndugu yangu, inawezekana mnamwonea tu bure huyo Mwigulu kwenye swala hilo la 'trilioni za makinikia ya Barrick' zilivyoyeyuka.......maana kumbukeni, ni vile labda baadae inawezekana kulitokea na kama ule mchezo wa ' prebargain wa DPP' kwenye suala hili pia, kiasi cha kama ndo mmeona waziri Mwigulu Nchemba ,kuwa na kigugumizi hatari ktk kujibu swali hilo..... kaazi iendelee.Nadhani Mheshimiwa Waziri kuna kitu ameishakinusa. Si kwa upole huu aliouonyesha kiasi anashindwa kutafsiri kiingereza anabaki na ya ya ya ya yaaa...!