Mpina ataka kumuumbua Waziri Mwigulu bungeni, apatwa na kigugumizi, Spika ambana "mi sielewi"

Mpina ataka kumuumbua Waziri Mwigulu bungeni, apatwa na kigugumizi, Spika ambana "mi sielewi"

Dr. Mwigulu is not a very intelligent person. Most of what he says rightly is in the written form. He can’t think fast and his personal understanding of many things is very low. That’s why he doesn’t know the long form of TRAB and TRAT.

Therefore, let’s nit blame him. It is the maximum capacity of his brain.
 
Kigumizi kimekuja baada ya kusikia zile Trillion 360 za makinikia.

Hapo nimemsifu Mpina .... Ameuliza swali ambalo Watanzania wengi tulikuwa tunataka majibu yake ....... "Kwa nini serikali ilikubali Billion 700 za makinikia wakati tulikuwa tupate Trillion 360 ..."
Hili litafichwa litapigwa dana dana hatutaamini.
Kama ilikuwa Tr 360 updown to Bil 700 si kuna namna hapo tayari?
Nani atakubali fedheha?
 
Mataga ni mataga tu.
Huyo Mpina anaongea kwa kuwa sio waziri kwa sasa angekuwa waziri asinyanyua mdomo katu angebaki kugonga meza kwa kila neno analosikia.
Katiba ya chama na serikali inamtaka awe hivyo akienda kinyume ananyanganywa kadi
 
Leo Kawa mdogo kama mbegu ya mchicha!
Hii inatupa picha kwamba, mamlaka au cheo havina nafasi katika hatma.
Kikubwa na bora ni kujichukulia kuwa mwanadamu wa kawaida tu.
Vyeo au mamlaka ni vitu vya kupita tu
 
Dr. Mwigulu is not a very intelligent person. Most of what he says rightly is in the written form. He can’t think fast and his personal understanding of many things is very low. That’s why he doesn’t know the long form of TRAB and TRAT.

Therefore, let’s nit blame him. It is the maximum capacity of his brain.
Oooh my Gosh[emoji849]
 
Nadhani Mheshimiwa Waziri kuna kitu ameishakinusa. Si kwa upole huu aliouonyesha kiasi anashindwa kutafsiri kiingereza anabaki na ya ya ya ya yaaa...!
Hahahahaaaa ............ unajua ndugu yangu, inawezekana mnamwonea tu bure huyo Mwigulu kwenye swala hilo la 'trilioni za makinikia ya Barrick' zilivyoyeyuka.......maana kumbukeni, ni vile labda baadae inawezekana kulitokea na kama ule mchezo wa ' prebargain wa DPP' kwenye suala hili pia, kiasi cha kama ndo mmeona waziri Mwigulu Nchemba ,kuwa na kigugumizi hatari ktk kujibu swali hilo..... kaazi iendelee.
 
Back
Top Bottom