Mpina ataka kumuumbua Waziri Mwigulu bungeni, apatwa na kigugumizi, Spika ambana "mi sielewi"

Mpina ataka kumuumbua Waziri Mwigulu bungeni, apatwa na kigugumizi, Spika ambana "mi sielewi"

TRAB=Tax Revenue Appeals Board maarufu Kama 'Board'.

TRAT=Tax Revenue Appeals Tribunal maarufu Kama 'Tribunal.'
PhD mwenzake, aliyekalia kile kiti kikubwa leo hakuyajua haya. Akauliza mara mbili mbili maana ya haya maneno!
 
Kama spika na wabuñge wake nao hawajui maana ya TRAB na TRAT.


Hii Nchi bana, Ndo maana Unaona Kuna haja ya kua na RAIS Makini, msomi na mwenye akili ifanyayo kazi kama alivyokua Hayati JPM


Ukiwa Kiongozi Kuna vitu lazima uwe navyo uelewa ili usidanganywe.

Na Hilo ndo Bunge, tunallolitegemea liisimamie serikali🤣🤣
 
Wabungè nao kumbe wazito. Niliwahi kusikia kuna taaluma fulani ya kienyeji unaweza kuganyiwa wakati unahutubia unapatwa na kigugumizi cha kurudia neno mòja hadi muda wako unaisha
 
This is humiliation mtoto wa certificate ya kodi anaweza kujibu hilo swali.
 
Back
Top Bottom