Mwanamwaiche
JF-Expert Member
- Apr 13, 2022
- 665
- 968
Mwigulu ni kielelezo cha upimbi na uzuzu wa Tanzania, hasa Serikali ya Tanzania kwenye mambo ya msingi, . viongozi wa tanzania hawana hofu, wala heshima mbele ya umma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taxpayers(walipakodi) wasiporidhika na na kodi waliopangiwa kulipa na TRA kwa kuamini kuwa wameonewa/ wamepangiwa kodi kubwa kuliko biashara zao. Wana nafasi ya kupinga maamuzi hayo ya kulipa kodi kisheria (tax appeal)Tofauti yake ni nn? Kwa sisi tusiojua kitu?
Sijui kama wamekusikia na kukuelewa unamaanisha niniDeep state saidieni hii nchi na mikono ya wahujumu uchumi kama mlivyo fanya kwenye issues za Meremeta, Tangold, Epa,Richmond , Escrow , Majengo pacha ya BOT M, RADAR na BAE system scandles .
Deep State iliyopo ni wale wanaoabudu kwenye inheritamces...Deep state saidieni hii nchi na mikono ya wahujumu uchumi kama mlivyo fanya kwenye issues za Meremeta, Tangold, Epa,Richmond , Escrow , Majengo pacha ya BOT M, RADAR na BAE system scandles .
Sasa tufafanulie kauli ya MadeluTaxpayers(walipakodi) wasiporidhika na na kodi waliopangiwa kulipa na TRA kwa kuamini kuwa wameonewa/ wamepangiwa kodi kubwa kuliko biashara zao. Wana nafasi ya kupinga maamuzi hayo ya kulipa kodi kisheria (tax appeal)
Ambapo zipo njia tatu za kupinga maamuzi hayo ya kodi/ Appeallate machinery
1. TRAB -Appeals to the Tax reference Appeal Board.
Na kama matokeo yatatoka na mlipakodi asiporidhika na hayo matokeo basi ana nafasi nyingne ya kua appeal ktk
2.TRAT -Appeals to the Tribunal.
Hapa pia kama mlipakodi hata ridhika na maamuzi yalitolewa, ana nafasi ya mwsho ya appeal
3. Appeals to the Court of Appeal.
Hapa ndipo sehemu ya mwsho ambayo mlipakodi ana nafasi ya ku appeal na maamuzi yatakayotolewa ndio mwisho.
ExactlyCompletely brainless, limewekwa kama proxy tu hiyo Wizara to run his masters errands.
Allelluya..nani mtenda miujiza?Ile trillion 360 haipo tena
Wewe jamaa huwa pumbavu sanaMuulize muuliza swali ,yeye kaziona wapi?
Ni miaka mingi tunasikia hili swala la Rufaa za Kodi ila hakuna kinachoeleseka..
Au haya Marion ndio Yale ya makinikia na kishika uchumba? [emoji16][emoji16]..
Tzn iwe na hizo pesa izitoe wapi kwanza.
Safi niongezee kidogo maana bado watu watapata ukakasi hizo tril 300+ zimepatikanaje...? Ni hivi kama umekadiriwa kulipa kiasi fulan cha kodi na ww hukuridhika hatua ya kwanza ni kukata rufaa kwa commissioner mkuu wa kodi wa Tz...na akitoa majibu na bado hukuridhika nayo basi kuna board mbili...ambazo ni Trab na Trat....lakin kabla ya kuzifikia hiz board kwa kiasi ulicho kadiriwa lazima ulipe 1/3 ya kod uliyokadiriwa bila kujali umeonewa au laah..na hapo utaanza Trab...baada ya ww kuona commissner general amekuonea...lakin kama Trab watatoa majibu kama yalivyotoka kwa commsner general..na bado ukawa hujakubal bas unashauria kuaapeal kwa Trat ...Ambayo nayo ikitoa maamuz ambayo hujayakubali....bas utaenda court of appeal na hapa ni final....sasa kama kodi umeambiwa ulipe bil 700 na ww umeona umeonewa lazima ulipe 1/3 ya bil 700 thn ndio uendelee na rufaa...sasa hii 1/3 haiendi kwanza Tra mpaka kes imalizike....ndio hizo trl 300 zipo wap...?? Kutwa kutusumbua tuu yaanTaxpayers(walipakodi) wasiporidhika na na kodi waliopangiwa kulipa na TRA kwa kuamini kuwa wameonewa/ wamepangiwa kodi kubwa kuliko biashara zao. Wana nafasi ya kupinga maamuzi hayo ya kulipa kodi kisheria (tax appeal)
Ambapo zipo njia tatu za kupinga maamuzi hayo ya kodi/ Appeallate machinery ambazo zinapaswa kufatwa kwa mtiririko kama ifuatavyo:-
1. TRAB -Appeals to the Tax reference Appeal Board.
Na kama matokeo yatatoka na mlipakodi asiporidhika na hayo matokeo basi ana nafasi nyingne ya kua appeal ktk
2.TRAT -Appeals to the Tribunal.
Hapa pia kama mlipakodi hata ridhika na maamuzi yalitolewa, ana nafasi ya mwsho ya appeal.
3. Appeals to the Court of Appeal.
Hapa ndipo sehemu ya mwsho ambayo mlipakodi ana nafasi ya ku appeal na maamuzi yatakayotolewa ndio mwisho.
Pumbavu ni dad yakoWewe jamaa huwa pumbavu sana
Mama ana mpenda jamaniiiTanzania hatuna Waziri wa Fedha.