Mpina ataka kumuumbua Waziri Mwigulu bungeni, apatwa na kigugumizi, Spika ambana "mi sielewi"

Mpina ataka kumuumbua Waziri Mwigulu bungeni, apatwa na kigugumizi, Spika ambana "mi sielewi"

Itabidi tumualike ITV afafanue trab na trat, ila nilivyoelewa ni KUwa hizo kësi haziko chini ya wizara ya fedha Kwaaana ye hahusiki au TRA haihusiki, so zipo Mahakaman nadhan court of appeal, Kwa maaana suluhisho Huko Trab na trat lilishindikana. Wafanyabiashara wakakata rufaa...
Sio trab wala trat.by wazir wa fedha jf
 
Daah! Hivi rais Samia hanioni mm akaniteua kuwa waziri wa fedha? Au anadhani mm siyo mtanzania?
 
Kwa ufupi tu zipo hapo samora karibu na mnara wa askari inafuatana na jengo la IPS Building.
.........'Jengo la IPS building'. Kisarufi haijakaa sawa. Haina tofauti ya Trab na Trat. Au nasema uwongo ndugu yangu pasco Mayala?
 
credibility ya wizara ya fedha leo imeshuka sana nadhani kuna umuhimu wa kujiuliza kwa mamlaka ya uteuzi, japo dhamira ya spika ililenga kumshushua mpina, ila pia kiti cha spika kinafadhaishwa na majibu mepesi ya mawaziri siku hizi tena bila aibu kwa dharau na jeuri, wanajibu uongo kwa makusudi, mwanasheria anayafahamu halafu wanataka wadanganye kirahisi na kwa dharau.
 
TRAB ni "Tax revenue appeals Board" inashughulika na masuala ya kikodi, then TRAT ni Tax Revenue Appeals Tribunals" hiyo inashughulika na rufaa za maamuzi ya awali. simple!
 
Unapopishana na TRA khs Kodi halali unayotakiwa kulipa,sehemu ya kwanza kupinga hua Ni kwa COMMISSIONER OF TRA then mkishindwana,unaenda kwny hio BOARD, ikishindikana hapo unaenda kwny hio TRIBUNAL, then mkishindwana hapo tena Finally mtaenda kwny COURT OF APPEAL mkuu.
Sasa hayabyalihusianaje na trillion 360.
 
Back
Top Bottom