Mpina ataka kumuumbua Waziri Mwigulu bungeni, apatwa na kigugumizi, Spika ambana "mi sielewi"

TRAB=Tax Revenue Appeals Board maarufu Kama 'Board'.

TRAT=Tax Revenue Appeals Tribunal maarufu Kama 'Tribunal.'

PhD ya Waziri wa Fedha wa Tanzania Supervisor wake ni Akina nani?
 
Tofauti yake ni nn? Kwa sisi tusiojua kitu?
Unapopishana na TRA khs Kodi halali unayotakiwa kulipa,sehemu ya kwanza kupinga hua Ni kwa COMMISSIONER OF TRA then mkishindwana,unaenda kwny hio BOARD, ikishindikana hapo unaenda kwny hio TRIBUNAL, then mkishindwana hapo tena Finally mtaenda kwny COURT OF APPEAL mkuu.
 
Asante sana , umeeleza kwa lugha rahisi.
 
Ndio amekosa kiswahili chake?
🤣

Ta..tratat...trataat traaat...😆🤣 nani aweke beat hapo.
Sasa si angesema kwa kiinglish chake?😀😀😃

Hayo ni madhara ya kukariri badala ya kuelewa. Na ndio maana ameshindwa kueleza hata kwa lugha rahisi.
Haina tofauti na agenda ya tozo. Nina imani ipo siku atamtaja aliyemkaririsha kwamba tozo zingeongeza mzunguko wa fedha uraiani.
Hadi leo bado tunausubiri huo mzunguko na tozo zinaendelea kukatwa.

Hii serikali iangalie inavyodanganya wananchi ilihali watu wanajua ukweli.
Kila siku ziara na misafara ndani na nje ya nchi bajeti inatoka wapi?
Mama yuko msumbiji na msafara, mstaafu Jk safari za nje kila wakati, vice USA, mawaziri, makamishna nk kila siku ni ziara!

Na badooo, watapaliwa sana na kupatwa na kigugumizi hadi waache uonevu!

Tozo ni wizi
 
Unapopishana na TRA khs Kodi halali unayotakiwa kulipa,sehemu ya kwanza kupinga hua Ni kwa COMMISSIONER OF TRA then mkishindwana,unaenda kwny hio BOARD, ikishindikana hapo unaenda kwny hio TRIBUNAL, then mkishindwana hapo tena Finally mtaenda kwny COURT OF APPEAL mkuu.
Si bora uwazili wa hela wakupe tuuu 🤠🤠🤠
 
Unapopishana na TRA khs Kodi halali unayotakiwa kulipa,sehemu ya kwanza kupinga hua Ni kwa COMMISSIONER OF TRA then mkishindwana,unaenda kwny hio BOARD, ikishindikana hapo unaenda kwny hio TRIBUNAL, then mkishindwana hapo tena Finally mtaenda kwny COURT OF APPEAL mkuu.
Kwahyo hizo trilion 360 ndo zipo uko? Means siku maamuzi yakitolewa kiasi gani kinatakiwa kulipwa ndo zitaenda TRA sio
 
Tozo ni wizi
Bila huduma
up.gif
 
Hii ndiyo inaitwa "mumbo jumbo". All of a sudden he found himself outside his usual comfort zone of always reading from a script. What a pitiful human being! And after all this, he would shamelessly step out of that building and walk into his 560 million Land Cruiser LC300 paid in full by Tax Payers.
 
Unapopishana na TRA khs Kodi halali unayotakiwa kulipa,sehemu ya kwanza kupinga hua Ni kwa COMMISSIONER OF TRA then mkishindwana,unaenda kwny hio BOARD, ikishindikana hapo unaenda kwny hio TRIBUNAL, then mkishindwana hapo tena Finally mtaenda kwny COURT OF APPEAL mkuu.
Wewe ndio ulitakiwa uwe waziri wa fedha sasa sio yule kiazi na Ph.D yake ya mchongo
 
Sasa mwananchi wa kawaida hizo trab nazijulia wapi ndio maana wanachomekea kingereza kidogo ili watuibie
 
Back
Top Bottom