Mpina ataka kumuumbua Waziri Mwigulu bungeni, apatwa na kigugumizi, Spika ambana "mi sielewi"

Kuna kile kimchoko flan kumskiliza mtu ambae hajui kitu unachokifahamu
Ndo mzee wa tozo na wabunge wenzie
Ndio maana wanapata mpaka muda wa kuangalia na connection
 
Mhe Mwigulu Nchemba Waziri wa fedha wa Tanzania, leo akijibu maswali bungeni ameshindwa kufafanua tofauti ya TRAT &TRAB kwenye uchumi, jambo lilomfanya spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania kuingilia Kati na kumtaka atolee ufafanuzi, ghafla Waziri wa fedha (PhD) akashikwa na kigugumizi na kushindwa kufafanua vizuri, hali iliyoibua shamla shamla za hapa na pale Bungeni.

Ikumbukwe Waziri wa fedha ana PhD ya Uchumi.

Kigumizi kimekuja baada ya kusikia zile Trillion 360 za makinikia.

Hapo nimemsifu Mpina .... Ameuliza swali ambalo Watanzania wengi tulikuwa tunataka majibu yake ....... "Kwa nini serikali ilikubali Billion 700 za makinikia wakati tulikuwa tupate Trillion 360 ..."
 
L na R janga la taifa. Andika shamra shamra siyo shala shamla.

Shule za kata hizi looo!!!
 
Mhe Mwigulu Nchemba Waziri wa fedha wa Tanzania, leo akijibu maswali bungeni ameshindwa kufafanua tofauti ya TRAT &TRAB kwenye uchumi, jambo lilomfanya spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania kuingilia Kati na kumtaka atolee ufafanuzi, ghafla Waziri wa fedha (PhD) akashikwa na kigugumizi na kushindwa kufafanua vizuri, hali iliyoibua shamla shamla za hapa na pale Bungeni.

Ikumbukwe Waziri wa fedha ana PhD ya Uchumi.

Ikumbukwe Waziri wa fedha ana PhD ya Uchumi.
 
Hata mfanyabiashara wa Kariakoo aliyewahi kukadiriwa vibaya kodi anazijua na anaweza kueleza vizuri kuliko Daktari wa Uchumi. Wakili msomi anashindwa kueleza tofauti ya Mahakama ya Mwanzo na Mahakama ya Wilaya.
Well said Bila bila.
 
Mhe Mwigulu Nchemba Waziri wa fedha wa Tanzania, leo akijibu maswali bungeni ameshindwa kufafanua tofauti ya TRAT &TRAB kwenye uchumi, jambo lilomfanya spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania kuingilia Kati na kumtaka atolee ufafanuzi, ghafla Waziri wa fedha (PhD) akashikwa na kigugumizi na kushindwa kufafanua vizuri, hali iliyoibua shamla shamla za hapa na pale Bungeni.

Ikumbukwe Waziri wa fedha ana PhD ya Uchumi.

Phd feki hahahahaaaaaa
 
Back
Top Bottom