inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
So hakuna hata shilingi mtaani!?..maana zilizoibwa ni Mara mbili ya patoPato la Taifa ni tsh trillion 141
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So hakuna hata shilingi mtaani!?..maana zilizoibwa ni Mara mbili ya patoPato la Taifa ni tsh trillion 141
Ili aaibike, andaeni mdahalo live.Kwahiyo sio trillion 280 ni trlioni 30 sasa hivi?
Huyu Mpina anajua hata hesabu za kidato cha nne??
Miamala si ni fedha!?..hizo 280t hazijawahi kuwepo tzNa mimi nilimwelewa hivyo sasa wengine basi tuu
Hapwezi kuwa na biashara ya trail 280 kupitia dhahabu na rasilimali zingine kwenye single fiscal yearNenda kamsikilize vizuri
Kuna mapato hayako kwenye Bajeti ya nchi.
Mtu akiiba dhahabu Hilo pato halimo kwenye Bajeti au akiiba magogo!
Nenda kamsikilize wewe
Mbona siku hizi unaandika viroja badala ya hoja ndugu The Boss !!??Wewe na yeye wote akili moja .
Makusanyo ya nchi nzima hayafiki trillion 25...
Uje useme tumeibiwa trillion 280..?
Na hili wengi hawalijui.Nenda kamsikilize vizuri
Kuna mapato hayako kwenye Bajeti ya nchi.
Mtu akiiba dhahabu Hilo pato halimo kwenye Bajeti au akiiba magogo!
Nenda kamsikilize wewe
Kwahiyo hata yeye amejua huko bungeni sio sehemu unaweza kujadili mambo ya msingi, Sasa anataka wakajadiliane kwenye TV?!Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameomba kufanya mdahalo na Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba live kwenye Televisheni kuzungumzia kashfa ya ufisadi wa Trilioni 30 alizochambua kutoka ripoti ya CAG ili kukata mzizi wa fitna.
Mpina alisema wakati anachangia ripoti ya CAG, Waziri Mwigulu alimfanyia fujo kwa kumkatiza kwa kujifanya anampa taarifa kumbe ulikuwa ni ujanja wa kumpotezea muda ashindwe kudadavua vizuri ufisadi wa Trilioni 30. Hivyo Mpina amemuomba Waziri Mwigulu kukubali ashiriki mdahalo live kwenye luninga wakizungumzia ufisadi huo wa Trilioni 30.
Inaelekea ww ni PROFESSIONAL ACCOUNTANT. Siyo hoja zote za CAG ni wizi. Hoja nyingi za CAG huhitaji ufafanuzi na viambatanisho na hoja hizo hufungwaKwahiyo sio trillion 280 ni trlioni 30 sasa hivi?
Huyu Mpina anajua hata hesabu za kidato cha nne??
Weka hapa CV ya MPINAAcha ujinga wewe soma vizuri hizo taarifa acha kujifanya mjuaji unaijua elimu ya Mpina wewe? unajua kasomea nini? anachokisema Mpina anakifahamu ndio maana kaomba mdahalo sasa wewe mkumbushe mwigulu kwamba anahitajika kwenye mdahalo ili naye aeleze anachojua kuhusu hoja hiyo
Mwigulu akikubali huu mdahalo niiteni chizi, nimekaa pale 👉bunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameomba kufanya mdahalo na Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba live kwenye Televisheni kuzungumzia kashfa ya ufisadi wa Trilioni 30 alizochambua kutoka ripoti ya CAG ili kukata mzizi wa fitna.
Tulia wewe,itajulikana,muhimu mdahalo uwepo tuKwahiyo sio trillion 280 ni trlioni 30 sasa hivi?
Huyu Mpina anajua hata hesabu za kidato cha nne??
Weka hapa CV ya MPINA
Kama Samia anazungukwa na wezi wanaojulikana, yeye atakuwaje msafi?Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameomba kufanya mdahalo na Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba live kwenye Televisheni kuzungumzia kashfa ya ufisadi wa Trilioni 30 alizochambua kutoka ripoti ya CAG ili kukata mzizi wa fitna.
Mpina alisema wakati anachangia ripoti ya CAG, Waziri Mwigulu alimfanyia fujo kwa kumkatiza kwa kujifanya anampa taarifa kumbe ulikuwa ni ujanja wa kumpotezea muda ashindwe kudadavua vizuri ufisadi wa Trilioni 30. Hivyo Mpina amemuomba Waziri Mwigulu kukubali ashiriki mdahalo live kwenye luninga wakizungumzia ufisadi huo wa Trilioni 30.
Unaelewa maana ya transactions?Hapwezi kuwa na biashara ya trail 280 kupitia dhahabu na rasilimali zingine kwenye single fiscal year
Unajua maana ya fiscal year?Unaelewa maana ya transactions?
Mpuuzi huyu mnyantuzu.Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameomba kufanya mdahalo na Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba live kwenye Televisheni kuzungumzia kashfa ya ufisadi wa Trilioni 30 alizochambua kutoka ripoti ya CAG ili kukata mzizi wa fitna.
Mpina alisema wakati anachangia ripoti ya CAG, Waziri Mwigulu alimfanyia fujo kwa kumkatiza kwa kujifanya anampa taarifa kumbe ulikuwa ni ujanja wa kumpotezea muda ashindwe kudadavua vizuri ufisadi wa Trilioni 30. Hivyo Mpina amemuomba Waziri Mwigulu kukubali ashiriki mdahalo live kwenye luninga wakizungumzia ufisadi huo wa Trilioni 30.
Maajabu kamanda wanguKwahiyo hata yeye amejua huko bungeni sio sehemu unaweza kujadili mambo ya msingi, Sasa anataka wakajadiliane kwenye TV?!