Mpina ataka mdahalo na Mwigulu ufisadi wa Trilioni 30

Nenda kamsikilize vizuri

Kuna mapato hayako kwenye Bajeti ya nchi.


Mtu akiiba dhahabu Hilo pato halimo kwenye Bajeti au akiiba magogo!


Nenda kamsikilize wewe
Hapwezi kuwa na biashara ya trail 280 kupitia dhahabu na rasilimali zingine kwenye single fiscal year
 
Wewe na yeye wote akili moja .
Makusanyo ya nchi nzima hayafiki trillion 25...
Uje useme tumeibiwa trillion 280..?
Mbona siku hizi unaandika viroja badala ya hoja ndugu The Boss !!??
Nini kimekukuta!!??

Rudia kusikiliza kwa umakini hoja za Mpina halafu ndiyo uandike.

Jitahidi usidandie treni kwa mbele tafadhali.
 
Shida nn Kama Mwigulu Anajiamin Akubari Huo Mdahalo
Naamini 100% Hawezi Kukaa pamoja na Mpina na Alivyo Hajui Kujenga hoja zaidi ya Vijembe na Majivuno
 
Nenda kamsikilize vizuri

Kuna mapato hayako kwenye Bajeti ya nchi.


Mtu akiiba dhahabu Hilo pato halimo kwenye Bajeti au akiiba magogo!


Nenda kamsikilize wewe
Na hili wengi hawalijui.
Wizi kwenye rasilimali za nchi unakuwa haupo kwenye mapato yanayotegemewa kwenye bajeti.
 
Kwahiyo hata yeye amejua huko bungeni sio sehemu unaweza kujadili mambo ya msingi, Sasa anataka wakajadiliane kwenye TV?!
 
Kwahiyo sio trillion 280 ni trlioni 30 sasa hivi?
Huyu Mpina anajua hata hesabu za kidato cha nne??
Inaelekea ww ni PROFESSIONAL ACCOUNTANT. Siyo hoja zote za CAG ni wizi. Hoja nyingi za CAG huhitaji ufafanuzi na viambatanisho na hoja hizo hufungwa
 
Weka hapa CV ya MPINA
 
bunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameomba kufanya mdahalo na Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba live kwenye Televisheni kuzungumzia kashfa ya ufisadi wa Trilioni 30 alizochambua kutoka ripoti ya CAG ili kukata mzizi wa fitna.
Mwigulu akikubali huu mdahalo niiteni chizi, nimekaa pale 👉
 
Kama Samia anazungukwa na wezi wanaojulikana, yeye atakuwaje msafi?
 
Mpuuzi huyu mnyantuzu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…