Mpina ataka mdahalo na Mwigulu ufisadi wa Trilioni 30

Mwigulu hawezi kukubali maana anajua uovu anaoufanya
Nakumbuka wakati ule anapiga debe kurejeshwa kwa service charge kwenye luku alidaii itakuwa kwa muda tu ili wafikie malengo ya kujenga hospital na zahanati hasa vijijini, hawa jamaa sijui wanampango gani na mustakabali wa mtanzania wa kipato cha chini maana tunashindwa kufanya kazi zetu kwasababu upatikanaji wa umeme ni janga kubwa sana. Umeme hatupati na bado gharama ya service charge imeongezeka, na kazi hatufanyi kwasababu mara nyingi huku kwetu umeme unawashwa usiku kuliko mchana. Hii inji hii, ngachoka kabisa kabisa.
 
waziri wetu hawezi kufanya mdahalo na kichaa. Yule ameshapanic ni km amechanganyikiwa.
 
Mpina laikuwa kilaza tu pale Mzumbe, we ni mwehi mwenzake, kenge nyie hamuoni hata haya?
 
Mwigulu ni hasara kwa taifa
 
Mwigulu hana uwezo wa kuukubali huo mdahalo.., maana itakuwa ni fedheha kubwa sana kwake, kwanza alitwambia awamu hii hakuna wizi, uongo uongo tu na makanisani sijuwi huwa wanafuata nini.
 
Mwigulu hawezi kukubali; ataumbuka. Ameishaiba hela nuongo sana kwa kushirikiana na mafisadi wenzake ndani Ya CCM
 
Huu mjadala hautokaa utokee.Mtego huu ataukwepa maana unaweza kuwavua nguo watu fulani.
 
Mwigu amesahau Hadi kunyoa ndevu,

Amekuwa kama savimbi!!
 
Huna point, ni matisho tu.
 
Mwamba kakomaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…