misedemideheki
JF-Expert Member
- Aug 7, 2020
- 246
- 448
Aseme kwanza pesa zawavuvi alikusanya kiasi gani nazikowapi kwanini alifanya unyama ule?Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameomba kufanya mdahalo na Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba live kwenye Televisheni kuzungumzia kashfa ya ufisadi wa Trilioni 30 alizochambua kutoka ripoti ya CAG ili kukata mzizi wa fitna.
Mpina alisema wakati anachangia ripoti ya CAG, Waziri Mwigulu alimfanyia fujo kwa kumkatiza kwa kujifanya anampa taarifa kumbe ulikuwa ni ujanja wa kumpotezea muda ashindwe kudadavua vizuri ufisadi wa Trilioni 30.
Hivyo Mpina amemuomba Waziri Mwigulu kukubali ashiriki mdahalo live kwenye luninga wakizungumzia ufisadi huo wa Trilioni 30.
Wengi uwa wanakurupuka kujibu fikra tafakuri hawanaHujamuelewa kuna hoja mbili tofauti za Mpina moja ya Trilioni 30 kupitia ripoti ya CAG na ya pili Trilioni 280 ni za miamala shuku kupitia ripoti FIU ambazo hazimo kwenye ripoti ya CAG usichanganye mambo
I think ana kitu tumsikilize.Wewe na yeye wote akili moja .
Makusanyo ya nchi nzima hayafiki trillion 25...
Uje useme tumeibiwa trillion 280..?
Acha ujinga.Mbona unalazimisha sana ukamanda komredi?!
Kwa hiyo hii hoja hapa kaileta mpina au nani?, wewe bwege kweli kweli.Kwahiyo sio trillion 280 ni trlioni 30 sasa hivi?
Huyu Mpina anajua hata hesabu za kidato cha nne??