Mpina atakiwa apeleke Ushahidi wa Madai yake kwamba Maagizo ya Waziri Mkuu Majaliwa hayatekelezwi na Watendaji wa Serikali!

Mpina atakiwa apeleke Ushahidi wa Madai yake kwamba Maagizo ya Waziri Mkuu Majaliwa hayatekelezwi na Watendaji wa Serikali!

Alete ushahidi.....

Lakini hawa watendaji wa chini ya waziri mkuu na chini ya mawaziri kinachowafanya hivyo ni nini haswa?!!!!

Je tunahitaji kuwa na mfumo usio na ustaarabu wa kusukumana kutenda?!!!

Je jamii yetu haiwafinyangi watu vyema kusimamia MAJUKUMU YAO yahusuyo wananchi wenzao ?!!!

Je elimu yetu haitusaidii kujua thamani ya UMOJA WA KITAIFA na thamani kubwa ya taifa letu?!

Je umimi umekuwa mkubwa kutufikisha hapa tulipo?!!!

Je kweli tumeamua tuishi mfumo wa kula "kwa mbuzi na kamba yake"?!!!!

Yaani kweli HATUWAJALI NDUGU ZETU wa karibu wala ndugu zetu wa mbali wala majirani wala watanzania wenzetu isipokuwa tu SISI WENYEWE,WANETU,WAKE ZETU,WAUME ZETU,STAREHE ZETU NA UKWASI WETU?!!!!

WE REALLY NEED TO CHANGE......this ain't normal....it's a gravious disease.......

#SiempreJMT[emoji120]
 
Yapo mengi mimi mpina aje pm nimtumie yamejaa tu hata la michango shuleni, usambazaji wa mbolea,kodi kwa mazao ya kilimo,kuandikisha watoto shule,kuvuta shisha...

Tuanzie kwanza aliupataje ubunge wake, kwa kura au kuhujumu wagombea wengine apite bila kupingwa? Kama ameingia kwa njia za kihuni basi maagizo yake ni ya kupuuzwa.
 
Akizungumza Bungeni leo Lugaha Mpina amedai ya kuwa kuna maagizo aliyatoa Waziri Mkuu na hayafanyiwi kazi na Waziri Mkuu yupo kimya hatua inayoonesha labda naye ameridhia...
Njiti ameshaanza upuuzi kama wa ndungai kutisha tisha wabunge wasifunguke
 
Akizungumza Bungeni leo Lugaha Mpina amedai ya kuwa kuna maagizo aliyatoa Waziri Mkuu na hayafanyiwi kazi na Waziri Mkuu yupo kimya hatua inayoonesha labda naye ameridhia....
Changamoto ni kutoa ushahidi ukubalike, na kama lengo ni kuzima hoja yake kuhusu ubadhirifu nayo ni shida nyingine.
 
Akizungumza Bungeni leo Lugaha Mpina amedai ya kuwa kuna maagizo aliyatoa Waziri Mkuu na hayafanyiwi kazi na Waziri Mkuu yupo kimya hatua inayoonesha labda naye ameridhia...
Wewe jamaa johnthebaptist ni mcha Mungu, mwenye uelewa, utu na mpenda haki, ila cha ajabu upo/unashabikia lichama ambalo halijui hayo yote.
 
Yapo mengi mimi mpina aje pm nimtumie yamejaa tu hata la michango shuleni, usambazaji wa mbolea,kodi kwa mazao ya kilimo,kuandikisha watoto shule,kuvuta shisha,

Kiufupi ukipitia hotuba za waziri mkuu na kinachotokea ni zero tupu ni kama mpiga kelele tu.

USSR
Tukiandika humu,nyinyi wanachama wa mambuzi au watetea watu huwa mnakuja na matusi badala ya kujibu hoja.
Embu tuungane kuipigania Tanzania iliyo bora kwa kila Mtanzania bila kujali mrengo wake wa siasa.
 
Akizungumza Bungeni leo Lugaha Mpina amedai ya kuwa kuna maagizo aliyatoa Waziri Mkuu na hayafanyiwi kazi na Waziri Mkuu yupo kimya hatua inayoonesha labda naye ameridhia...
Mpina ni tapeli tu, muongo , muongo, anahongwa na wafugaji kama alivyokuwa anahongwa na wavuvi, na yeye mwenyewe ni mfugaji, ana mgongano wa maslahi
 
CCM ni tatizo kubwa na baya sana nchini kwetu.

Hizo figisu zote ni zao wao kwa wao, ni mambo yao ya ulaji na maslahi yao tu; hawajui wala kujali Taifa au wananchi

Yatosha sasa! Tunataka Katiba Mpya.
Magufuli hayupo Sasa wapinzani wako wapi?
 
JPM katika moja ya hotuba zake, aliwahi kusema Luhaga Mpina ni kichaa. JPM akiwa Rais ana taarifa zote za kitabibu za wateule wake, ni vigumu sana kutomuamini Rais.

Namshauri mh spika amsimamishe vikao Luhaga Mpina endapo atashindwa kuthibitisha kwamba Waziri Mkuu huwa anashirikiana na watumishi wanaonyanyasa wafugaji. Amsimamishe vikao mpaka mwakani 2024 ili atoe tamko la kujiunga na chama chake alichoanzisha, maana kwa Sasa anatafutia kiki ya kuondokea
 
JPM katika moja ya hotuba zake, aliwahi kusema Luhaga Mpina ni kichaa. Rais ana taarifa zote za kitabibu za wateule wake, ni vigumu sana kutomuamini Rais...
Umenukuu vibaya

Weka nukuu yote nzima
 
Umenukuu vibaya

Weka nukuu yote nzima
Siku hizi Uchawa na Usanii unalipa sana, Yaani katika Bunge la leo kama kuna Mpinzani ni huyu Jamaa MPINA! Mtu mmoja analiamsha Bunge zima.

Yeye kazungumzia miaka ya nyuma na mifano katoa mifugo zaidi ya Elfu 3 kuuza kiholela. Wao wanadao kasema haya yametokea baada ya Hotuba ya Waziri Mkuu majuzi.
 
Akizungumza Bungeni leo Lugaha Mpina amedai ya kuwa kuna maagizo aliyatoa Waziri Mkuu na hayafanyiwi kazi na Waziri Mkuu yupo kimya hatua inayoonesha labda naye ameridhia....
Mbona hiyo ni kazi rahisi
 
Hakuna 18 wala chochote hapo, Mpina hoja ya Mpina iko wazi kabisa, tena bahati nzuri ushahidi wa aina hiyo upo mpaka kwa wananchi, huyo Tulia akitaka kumkomoa Mpina hiyo aibu itamrudia yeye.
 
Back
Top Bottom