Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,605
- 1,085
Aaanze na hichiKwani hayaonekani waziri mkuu ni hopeless ndani ya taifa hili kwanza ni muongo mkubwa alidanganya kuwa shujaa ni mzima kumbe RIP tena akiwa kwenye nyumba ya ibada.
Yapo mengi mimi mpina aje pm nimtumie yamejaa tu hata la michango shuleni, usambazaji wa mbolea,kodi kwa mazao ya kilimo,kuandikisha watoto shule,kuvuta shisha...
Njiti ameshaanza upuuzi kama wa ndungai kutisha tisha wabunge wasifungukeAkizungumza Bungeni leo Lugaha Mpina amedai ya kuwa kuna maagizo aliyatoa Waziri Mkuu na hayafanyiwi kazi na Waziri Mkuu yupo kimya hatua inayoonesha labda naye ameridhia...
Changamoto ni kutoa ushahidi ukubalike, na kama lengo ni kuzima hoja yake kuhusu ubadhirifu nayo ni shida nyingine.Akizungumza Bungeni leo Lugaha Mpina amedai ya kuwa kuna maagizo aliyatoa Waziri Mkuu na hayafanyiwi kazi na Waziri Mkuu yupo kimya hatua inayoonesha labda naye ameridhia....
Wewe jamaa johnthebaptist ni mcha Mungu, mwenye uelewa, utu na mpenda haki, ila cha ajabu upo/unashabikia lichama ambalo halijui hayo yote.Akizungumza Bungeni leo Lugaha Mpina amedai ya kuwa kuna maagizo aliyatoa Waziri Mkuu na hayafanyiwi kazi na Waziri Mkuu yupo kimya hatua inayoonesha labda naye ameridhia...
Tukiandika humu,nyinyi wanachama wa mambuzi au watetea watu huwa mnakuja na matusi badala ya kujibu hoja.Yapo mengi mimi mpina aje pm nimtumie yamejaa tu hata la michango shuleni, usambazaji wa mbolea,kodi kwa mazao ya kilimo,kuandikisha watoto shule,kuvuta shisha,
Kiufupi ukipitia hotuba za waziri mkuu na kinachotokea ni zero tupu ni kama mpiga kelele tu.
USSR
Awe chini ya mbowe???Luhanga Mpina karibu CHADEMA Bro.
Mpina ni tapeli tu, muongo , muongo, anahongwa na wafugaji kama alivyokuwa anahongwa na wavuvi, na yeye mwenyewe ni mfugaji, ana mgongano wa maslahiAkizungumza Bungeni leo Lugaha Mpina amedai ya kuwa kuna maagizo aliyatoa Waziri Mkuu na hayafanyiwi kazi na Waziri Mkuu yupo kimya hatua inayoonesha labda naye ameridhia...
Magufuli hayupo Sasa wapinzani wako wapi?CCM ni tatizo kubwa na baya sana nchini kwetu.
Hizo figisu zote ni zao wao kwa wao, ni mambo yao ya ulaji na maslahi yao tu; hawajui wala kujali Taifa au wananchi
Yatosha sasa! Tunataka Katiba Mpya.
Umenukuu vibayaJPM katika moja ya hotuba zake, aliwahi kusema Luhaga Mpina ni kichaa. Rais ana taarifa zote za kitabibu za wateule wake, ni vigumu sana kutomuamini Rais...
Siku hizi Uchawa na Usanii unalipa sana, Yaani katika Bunge la leo kama kuna Mpinzani ni huyu Jamaa MPINA! Mtu mmoja analiamsha Bunge zima.Umenukuu vibaya
Weka nukuu yote nzima
Mbona hiyo ni kazi rahisiAkizungumza Bungeni leo Lugaha Mpina amedai ya kuwa kuna maagizo aliyatoa Waziri Mkuu na hayafanyiwi kazi na Waziri Mkuu yupo kimya hatua inayoonesha labda naye ameridhia....
Aje kwenye uwanja huru sio kuwa Mfugo wa CCM.Awe chini ya mbowe???
Unataka awe mfuasi wa mwenyekiti wa kudumu?Aje kwenye uwanja huru sio kuwa Mfugo wa CCM.
Wewe inakuhusu nini? mimi naongea Luhanga Mpina kupitia JF.Unataka awe mfuasi wa mwenyekiti wa kudumu?
Baki peke ako na manyumbu wenzakoWewe inakuhusu nini? mimi naongea Luhanga Mpina kupitia JF.
Luhaga Mpina ni kichaa, muda wa kuongozwa na vichaa ulikwisha March 17, 2021. Mtu mwenye akili hawezi kupima samaki kwa rula canteenAtaleta ushahidi mwingi hadi unamwagika