Hio ndio silaha ya CCM wanayoitumia mpaka majimboni. Jimbo akipewa mpinzani tu ujue wananchi kazi mnayo😁!Mpina amekuwa mbunge wa CCM kwa miaka 20, na alikuwa anaomba kuemdelea kuwa mbunge kabla ya kukatwa jina lake na kutimkia ACT.
Tunaposema safari ya vyama vya upinzani bado ni ndefu sana. Mpina hakipendi chama cha ACT, bali amelazimika tu kama walivyolazimika akina Mrema, Slaa, Lowasa, Sumaye, Membe na wengine. Hii ni kusema vyama vya upinzani hakuna watu wenye hadhi. Hata Mpina atarudi CCM baada ya kumaliza mission yake ya kuidhoofisha ACT, au hasira zake zikishuka au atakapolazimishwa kurudi CCM.
Mpina huyu ataanza kudaiwa kila aina ya kodi aliyoikwepa kulipa wakati akiwa mbunge wa CCM, atarudi tu CCM alikozoea.
Kweli.Mpina amekuwa mbunge wa CCM kwa miaka 20, na alikuwa anaomba kuemdelea kuwa mbunge kabla ya kukatwa jina lake na kutimkia ACT.