Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Hazina ya watu bora sana.Ina hazina ya watu au hazina ya chawa, kupe na kunguni Mkuu?![]()
![]()
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hazina ya watu bora sana.Ina hazina ya watu au hazina ya chawa, kupe na kunguni Mkuu?![]()
![]()
![]()
Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu🤣🤣🤣 We kunguni, kwani ni lazima kila mtu ampende mama kama Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah?
Sukuma gang sio kama ile ya zamani kete zimebadilika.......hapo labda atoke yule jamaa wa kule Arusha ila kama ataendelea kuwepo watasumbua sana.......jamaa kuna sehemu wamejichimbia kwa sasa kikubwa maslahi yao.....hadi 2025 game ndo itaeleweka...kumbukeni bado kuna mziki wa waziri mkuu, na hio njia inapitika kwa Ubunge.........Kuna chenga moja wa mwili Mama Samia kawapiga sukuma gang aisee hawaamini kilichotokea Dodoma.
Acha tu Mpina awe na hali mbaya🤣🤣🤣
Ni kweli maana amegoma kujipendekeza.Mpina ni mpumbavu sana, namshauri mama amkate kwenye ubunge
Kwamba walitegemea iwe tofauti?Kuna chenga moja wa mwili Mama Samia kawapiga sukuma gang aisee hawaamini kilichotokea Dodoma.
Acha tu Mpina awe na hali mbaya🤣🤣🤣
Kama ina hazina ya watu, ingemchagua Wasira aliyejichokea na kumpachika kwenye nafasi inayotaka mtu mwenye nguvu?Kama anataka aondoke CCM maana CCM ina hazina ya watu
Shetani akitaka kukuangamiza, kitu cha kwanza lazima akupe kiburi. Ndicho kinachomkuta Mpina na LissuNi kweli maana amegoma kujipendekeza.
Tanganyika ilisha kufaChama cha mapinduzi kimepoteza uelekeo,wanaccm wamepotea kabisa.Wanapata wapi ujasiri wa kumpitisha mzanzibar kugombea urais Tanganyika?
Watanganyika wanatakiwa kuanza kutumia mbinu mbadala.
Siku hizi huko ccm mtu akijitambua anachukuliwa kama mwenye kiburi.Shetani akitaka kukuangamiza, kitu cha kwanza lazima akupe kiburi. Ndicho kinachomkuta Mpina na Lissu
CCM ni chakaWakuu,
Mpina hapa alipigwa na kitu kizito, hakuamini alichokuwa anakisikia![]()
.
Kama vile alitaka awe anaota, hajaelewa kabisa kuhusu mama ake Lucas Mwashambwa kupitishwa kugombea Urais 2025.
Sa itakuaje?
View attachment 3206927
Unadhani nini kilikuwa kinapita kichwani kwake muda huo? Nani alikuwa azimio lake? Au na yeye alitaka kuchukua fomu kumchalenji mama?
Hata wenyewe hawaelewiUkubwa dawa
I am sure hqdi sasa hamuelewi game plan ikoje