Pre GE2025 Mpina hajaelewa kabisa azimio la kumpitisha Samia kugombea 2025. Alitarajia nini kitokee? Sukuma gang kuanzisha vita?

Pre GE2025 Mpina hajaelewa kabisa azimio la kumpitisha Samia kugombea 2025. Alitarajia nini kitokee? Sukuma gang kuanzisha vita?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa kutovaa tu nguo za kijani kama wenzake inaonyesha amekuja Dodoma kwa nifanyeje tu! Ana jambo lake.
 
Kuna chenga moja wa mwili Mama Samia kawapiga sukuma gang aisee hawaamini kilichotokea Dodoma.

Acha tu Mpina awe na hali mbaya🤣🤣🤣
Sukuma gang sio kama ile ya zamani kete zimebadilika.......hapo labda atoke yule jamaa wa kule Arusha ila kama ataendelea kuwepo watasumbua sana.......jamaa kuna sehemu wamejichimbia kwa sasa kikubwa maslahi yao.....hadi 2025 game ndo itaeleweka...kumbukeni bado kuna mziki wa waziri mkuu, na hio njia inapitika kwa Ubunge.........
 
Chama cha mapinduzi kimepoteza uelekeo,wanaccm wamepotea kabisa.Wanapata wapi ujasiri wa kumpitisha mzanzibar kugombea urais Tanganyika?

Watanganyika wanatakiwa kuanza kutumia mbinu mbadala.
 
Chama cha mapinduzi kimepoteza uelekeo,wanaccm wamepotea kabisa.Wanapata wapi ujasiri wa kumpitisha mzanzibar kugombea urais Tanganyika?

Watanganyika wanatakiwa kuanza kutumia mbinu mbadala.
Tanganyika ilisha kufa
 
Shetani akitaka kukuangamiza, kitu cha kwanza lazima akupe kiburi. Ndicho kinachomkuta Mpina na Lissu
Siku hizi huko ccm mtu akijitambua anachukuliwa kama mwenye kiburi.
 
Mpina yupo sahihi kiutatatibu Kuna ratiba za uchaguzi wa ndani CCM kuanzia utoaji fomu, kuhojiwa kamati kuu, uchujaji majina kumpelekea halmashauri kuu na kisha mkutano mkuu kupitisha mgombea.
Lini CCM walitangaza utoaji fomu ya mgombea rais, mkutano mkuu umempitisha mgombea bila kuwepi ajenda ya kumpitisha.
Samia ni mwoga na hajiamini Ila safari hii CCM wasitegemee uchaguzi mwepesi huku swala la Tanganyika likitawala kwenye uchaguzi.
 
Wakuu,

Mpina hapa alipigwa na kitu kizito, hakuamini alichokuwa anakisikia :BearLaugh: :BearLaugh:.

Kama vile alitaka awe anaota, hajaelewa kabisa kuhusu mama ake Lucas Mwashambwa kupitishwa kugombea Urais 2025.

Sa itakuaje?:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:

View attachment 3206927

Unadhani nini kilikuwa kinapita kichwani kwake muda huo? Nani alikuwa azimio lake? Au na yeye alitaka kuchukua fomu kumchalenji mama?
CCM ni chaka
 
Back
Top Bottom