Tetesi: Mpina: Hata wakitaka na Ubunge nitawaachia lakini sitonyamaza

Uaneni kabisa mnatuchosha maana hamna faida yeyote.
 
Anayosema Mpina mbona ni ukweli?! CHAWA tulieni fuatilieni hayo madai myashughulikie. Mtawanyamazisha wangapi?! 2025 yaonekana siyo ushindi wa kishindo kabisa...
 
Mpina amini usiamini, yule 'waziri wa ufisadi' na mikataba michafu yupo nyuma ya hii kitu ili kukuondoa ktk reli.
endelea kumkimbiza hadi speed 120 round about.
 
Ameongelea wapi? Mpina anaongelea bungeni au kwenye media huo ni uzushi timu wahanga wa CAG mnautunga kuwayumbisha wananchi...tuwekee hiyo video anayosema hayo maneno
 
mpina punguza kinyongo......sidhani kama una uchungu na maumivu kufikia aliyonayo muhitimu wa kozi ya ualimu mwenye shahada aliemaliza chuo toka mwaka 2015 na mpaka leo hajapata ajira na umri unakwenda bila ramani yoyote
Sasa kwanini asiseme mkuu? Kwani matatizo yaliyopo ktk hii nchini ajira peke yake mpaka umuone Mpina ana kinyongo?
 
Umelikoroga ulinywe.
 
Mpina akamatwe na ahojiwe kwa masaa 72 analeta maneno ya kichochezi kwenye nchi ya amani
 
Swali je ardhi ulipata kihalali
 
Ila kitendo cha kupima samaki aliye kauka kwa rula kweli nalo tutalikumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…