johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwenye maslahi akili hufifishwa!Hivi huko ndani ya CCM hakuna tena watu wenye akili ya kufikiri?
Kwa nini aende CHADEMA kama huko ndani ya CCM wamo wenye akili za kuweza kutambua yanayosemwa na kuchukua maamuzi huku huko ndani ya chama!
Mnataka hicho chama kifike ngazi gani ya ubovu ndipo mtambue kuwa siyo chama tena cha siasa, bali kimebaki kuwa chama cha majambazi/manyang'anyi ya mali za waTanzania?
Mpina atikise huko huko, kama bado kuna watu wanaojitambua, wajitokeze na kumuunga mkono.