Tetesi: Mpina: Hata wakitaka na Ubunge nitawaachia lakini sitonyamaza

Tetesi: Mpina: Hata wakitaka na Ubunge nitawaachia lakini sitonyamaza

Alikuwa wapi kukemea toka kipindi kile cha ukiukwaji mkubwa wa haki kipindi cha jiwe.
Wewe ni **** kbs,hujui hata tofauti kati ya mbunge na waziri.
Lkn acha nikukumbushe,mpina akiwa waziri alizuia uvuvi haramu ziwa Victoria,uvuvi wa kutumia sumu baruti na makokolo,ndio maana ziwa Victoria lilijaa samaki.
 
Huu ni upuuzi Kama kweli kasema haya basi Mpina ni mjinga.

State ikitaka kukushughulikia haitahitaji yote hayo. Ni chap Kwa haraka unabaki masikin
kama kweli kuna state ambayo inashughurikia watu kwa ajili ya kusimamia ukweli hiyo itakuwa hopeless state.tuatarudi yale yale mliyokuwa mnayalalamikia lkn leo mnaanza kushabikia state kusghurikia watu.huu ni upuuzi mwingine na hali hiyo itasababisha watu waanze kuichukia hiyo state na waanze kuchukua sheria mkononi.state ambayo haitathamini haki za binadamu hiyo itakuwa satanic state.
 
Ni bora kufa na siyo kumsujudia binadamu mwenzako ili kupewa kile ambacho tena ni halali yako!

Wewe ni wewe, usilinganishe mtu mwingine na ujinga wako!

Wewe wasujudie hao watu! Kwetu sisi, wa kusujudiwa ni Mungu pekee

Mpaka sasa, Dunia ilishameza watu kibao, hivyo, hatuogopi kufa kwa sababu hata wao watafuata
Salute mkuu,
 
"....tatizo jamaa wanadhani mimi nitababaishwa na mbinu yao chafu ya kutumia chombo cha habari kunitweza hahahaha!"

"....brother, kwa akili yako eneo lile lingekuwa na tabu mwamba ( JPM) angeniacha salama?!"

"....yule kijana ( Mwandishi wa TBC )aliitwa Dar es Salaam usiku na alifuatwa na V8 akapangwa cha kwenda kureport including wale Viongozi wa kijiji walitumiwa fungi la kutosha ili pamoja na wao wawatafute wakina mama wenye shombo pale kijiji kile wakatengeneza sinema nzuri ya kuropoka!"

"...acha wapige kelele na hata wakitaka hilo eneo acha wachukue muhimu watambue sitonyamaza abadani!"

Mpina.
Mwigulu ana siasa za kipuuzi sana.
Akiwa mwenezi wa Ccm alishiriki kuwatafuta watu wa kutupa bomu Soweto Arusha. Na yeye alikuwa kama mita 200 toka eneo lilipo rushwa bomu na kugharimu roho za watu
Sijui Mh Rais Samia katoka wapi na huyu jambazi
 
kama kweli kuna state ambayo inashughurikia watu kwa ajili ya kusimamia ukweli hiyo itakuwa hopeless state.tuatarudi yale yale mliyokuwa mnayalalamikia lkn leo mnaanza kushabikia state kusghurikia watu.huu ni upuuzi mwingine na hali hiyo itasababisha watu waanze kuichukia hiyo state na waanze kuchukua sheria mkononi.state ambayo haitathamini haki za binadamu hiyo itakuwa satanic state.
Soma uelewe
 
huyu mpina kama vipi ashughulikiwe kimyakimya .....polepole ananyamazishwa kimyakimya na kufikia 2025 hatosikika tena.
Sauti ya HAKI haijawahi kunyamazishwa.

Punda aliongea kumwambia Balaamu kwanini unanipiga bila kosa,iweje mwanadamu?

Hiyo hutoka Kwa Mungu.
 
Huu ni upuuzi Kama kweli kasema haya basi Mpina ni mjinga.

State ikitaka kukushughulikia haitahitaji yote hayo. Ni chap Kwa haraka unabaki masikin
State ndio nani huyo?

Tehee.. acha kutisha watu.. Tunaishi mara moja.

#Kataawahuni. Niguse ninuke
 
Unajua watu waache lawama mtandaoni watuambie ni kesi namba ngapi na mahakama gani ya ardhi wananchi wamefungua na hawasikilizwi kama hamna hizo ni mbinu chafu za ccm dhidi ya ccm msema kweli
CCM kuna genge la wahuni!!
 
Suala la Mpina, mbona like wazi , Makamba, Nape, Mwigulu ni wahusika.

Na yote ni Sababu ya Mashambulizi ya Kweli anayopiga Mpina
 
"....Tatizo jamaa wanadhani mimi nitababaishwa na mbinu yao chafu ya kutumia chombo cha habari kunitweza hahahaha!"

Brother, kwa akili yako eneo lile lingekuwa na tabu mwamba (JPM) angeniacha salama?!"

"Yule kijana (Mwandishi wa TBC)aliitwa Dar es Salaam usiku na alifuatwa na v8 akapangwa cha kwenda kureport including wale viongozi wa kijiji walitumiwa fungi la kutosha ili pamoja na wao wawatafute wakina mama wenye shombo pale kijiji kile wakatengeneza sinema nzuri ya kuropoka!"

"Acha wapige kelele na hata wakitaka hilo eneo acha wachukue muhimu watambue sitonyamaza abadani!"

Mpina.
Support yangu kwako Mpina ✔️
 
mpina punguza kinyongo......sidhani kama una uchungu na maumivu kufikia aliyonayo muhitimu wa kozi ya ualimu mwenye shahada aliemaliza chuo toka mwaka 2015 na mpaka leo hajapata ajira na umri unakwenda bila ramani yoyote
Sasa wewe hapa unaelewa kitu gani, lakini upo unalishwa tu bure. Si heri huyo mwalimu angechukua hiyo nafasi unayoshikilia wewe huku kichwani ukiwa huna kitu?

Luhaga Mpina kamnyima nini huyo mwalimu unayemzungumzia?

Hao wanaomwandama Mpina ndio wanaompambania huyo mwalimu wako?

Ndiyo maana unajipachika jina la hovyo namna hiyo!
 
Safari kuelekea Chadema imeanza
Hivi huko ndani ya CCM hakuna tena watu wenye akili ya kufikiri?
Kwa nini aende CHADEMA kama huko ndani ya CCM wamo wenye akili za kuweza kutambua yanayosemwa na kuchukua maamuzi huku huko ndani ya chama!
Mnataka hicho chama kifike ngazi gani ya ubovu ndipo mtambue kuwa siyo chama tena cha siasa, bali kimebaki kuwa chama cha majambazi/manyang'anyi ya mali za waTanzania?

Mpina atikise huko huko, kama bado kuna watu wanaojitambua, wajitokeze na kumuunga mkono.
 
"....Tatizo jamaa wanadhani mimi nitababaishwa na mbinu yao chafu ya kutumia chombo cha habari kunitweza hahahaha!"

Brother, kwa akili yako eneo lile lingekuwa na tabu mwamba (JPM) angeniacha salama?!"

"Yule kijana (Mwandishi wa TBC)aliitwa Dar es Salaam usiku na alifuatwa na v8 akapangwa cha kwenda kureport including wale viongozi wa kijiji walitumiwa fungi la kutosha ili pamoja na wao wawatafute wakina mama wenye shombo pale kijiji kile wakatengeneza sinema nzuri ya kuropoka!"

"Acha wapige kelele na hata wakitaka hilo eneo acha wachukue muhimu watambue sitonyamaza abadani!"

Mpina.
Na watu wote waseme amen.
 
Back
Top Bottom