Mpina: Kifungu kilichotumiwa na Spika Tulia kunituhumu na kunihukumu hakipo!

Mpina: Kifungu kilichotumiwa na Spika Tulia kunituhumu na kunihukumu hakipo!

Dah!

Hivi inawezekana? Waziri na wanufaika wa Sukari kujibu tuhuma Mahakamani? Sidhani kuwa jambo la namna hii lilisha wahi tokea ndani ya nchi hii!

Sasa na CCM hii na mahakama yenyewe yalivyo... hili litawezekana?
 
Mpina kaamua liwalo na liwe, Wote tunaifahamu nchi hii na mahakama zake zote zinaongozwa tokea Lumumba lakini, hana kwingine pa kwenda, umesikia wameshaenda kumshitaki kamati kuu yao ya ccm, sijui na huko halmashauri kuu. Naye anatafuta haki yake ataipata wapi?

Kule bungeni anaugomvi na Spika na ndiye mtuhumiwa, unadhani ataenda wapi?
 
Mpina anajielewa sana, ameamua kuachana na Katiba ya JMT 1977 inayompa uhuru wa kutoa maoni yake, akaona awakaange directly kwenye kanuni zao za bunge.

Ni kweli, Spika kusema taarifa aliyowasilisha Mpina kwake na kuundiwa kamati ilikuwa ya siri, hiyo siri inakuja vipi ikiwa wakati wa utoaji wa taarifa husika bunge lilikuwa live likirusha matangazo yake kwa njia za Tv na radio? kwani hapo wananchi hawakuona na kusikia?!

Spika Tulia hajui anachofanya, ameamua kumlinda Bashe na mama Abdul na kuigeuzia hii kesi upande wa bunge, kama vile tuhuma za Mpina zililihusu Bunge, wakati ukweli Mpina alimtuhumu Bashe kusema uongo bungeni.

Ajabu mpaka leo Bashe yuko kimya, hii maana yake hana majibu, ameamua kunyamaza akijua atalindwa na mama Abdul, huyu mama kwa ukimya wake anaendelea kutoa kibali kwa Bashe atupige apendavyo mbele ya safari, BBT na sukari havitoshi!. kweli wanakula kwa urefu wa kamba zao.

Ni kiongozi wa ajabu sana kuwahi kuliongoza hili taifa, hajui kabisa anachofanya ikulu, tunapigwa kila upande ametulia akitazama anajibatiza na jina kujiita chura kiziwi, kiongozi asiyeweza kujibu tuhuma zinazoihusu serikali yake ni mzigo kwa taifa.

Nimalizie kwa kuwakumbusha wale chawa kina@Tlaatlaah & Stuxnet, Mpina ameamua kujilipua hajali chochote, dhamira yake inamsukuma kusema ukweli na yupo tayari kulipia gharama za ukweli wake sababu anajua ukweli unamuweka huru.

Njaa zenu vichwani na matumboni mwenu havipo kwa Mpina, anawatumikia watanganyika na wapiga kura wake, adhabu yoyote mtakayompa kwa kuzidi kuwaonesha udhaifu wenu kwake yupo tayari.

Kamati inayomuita Bashe mtuhumiwa, kisha kumuacha Mpina mtoa hoja na kumuadhibu bila kumsikiliza, ni ya ajabu, ilivunja Katiba ya nchi.

Nasimama na Mpina.
 
Sasa nayaamini maneno ya Msukuma bungeni, huyu jamaa apelekwe mirembe akatatuliwe matatizo aliyonayo.

Cha ajabu, bado anang'ang'ania kaonewa wakati kapigwa 18-0 kwa ushahidi wake alioupeleka bungeni. Hivi anafikiri sisi hatutazami bunge?

Ana matatizo ya wazi kabisa.
 
Mpina anajielewa sana, ameamua kuachana na Katiba ya JMT 1977 inayompa uhuru wa kutoa maoni yake, akaona awakaange directly kwenye kanuni zao za bunge.

Ni kweli, Spika kusema taarifa aliyowasilisha Mpina kwake na kuundiwa kamati ilikuwa ya siri, hiyo siri inakuja vipi ikiwa wakati wa utoaji wa taarifa husika bunge lilikuwa live likirusha matangazo yake kwa njia za Tv na radio? kwani hapo wananchi hawakuona na kusikia?!

Spika Tulia hajui anachofanya, ameamua kumlinda Bashe na mama Abdul na kuigeuzia hii kesi upande wa bunge, kama vile tuhuma za Mpina zililihusu Bunge, wakati ukweli Mpina alimtuhumu Bashe kusema uongo bungeni.

Ajabu mpaka leo Bashe yuko kimya, hii maana yake hana majibu, ameamua kunyamaza akijua atalindwa na mama Abdul, huyu mama kwa ukimya wake anaendelea kutoa kibali kwa Mpina atupige apendavyo mbele ya safari.

Ni kiongozi wa ajabu sana kuwahi kuliongoza hili taifa, hajaui kabisa anachofanya ikulu, tunapigwa kila upande ametulia anatazama anajibatiza na jina kujiita chura kiziwi, kiongozi asiyeweza kujibu tuhuma zinazoihusu serikali yake ni mzigo kwa taifa.

Nimalizie kwa kuwakumbusha wale chawa kina@tlaatlaah Mpina ameamua kujilipua hajali chochote, dhamira yake inamsukuma kusema ukweli na yupo tayari kulipia gharama za ukweli wake sababu anajua ukweli unamuwek huru.

Njaa zenu vichwani na matumboni mwenu havipo kwa Mpina, anawatumikia watanganyika na wapiga kura wake, adhabu yoyote mtakayompa kwa kuzidi kuwaonesha udhaifu wenu kwake yupo tayari.

Nasimama Nae.
Unasifia ujinga? Anajielewa nini, haukusomwa ushahidi alioutowa bungeni na kamati kifungu kwa kifungu, ikawa hakuna ushahidi hata mmoja?

Halafu anasema Spika hajamsikiliza, wakati Spika kumtendea haki kaiambia kamati u-ishughulikie na kama ti imewaita yeye na Bashe, ili isiendeshe hili suaa upande mmoja.

Huyo ana maumivu na chuki za kijinga.
 
Back
Top Bottom