Mpina: Kifungu kilichotumiwa na Spika Tulia kunituhumu na kunihukumu hakipo!

Huyu ndio mtu pekee wa maana kule ma CCM. Mungu amtunze na kumlinda
Ana maana kwa lipi zaidi?

Eti spika amaemtuhumu, wakati spika kamwambia apeleke ushahidi kama yu mkweli, ni takwa la kisheria za bunge unapomtuhumu kuwa ni muongo.

Huyu sasa nimeamini maneno ya Msukuma, ana matatizo binafsi, tazameni hata macho yake yanaashiria ni mwehu fulani.
 
Unasifia ujinga? Anajielewa nini, haukusomwa ushahidi alioutowa bungeni na kamati kifungu kwa kifungu, ikawa hakuna ushahidi hata mmoja?

Halafu anasema Spika hajamsikiliza, wakati Spika kumtendea haki kaiambia kamati u-ishughulikie na kama ti imewaita yeye na Bashe, ili isiendeshe hili suaa upande mmoja.

Huyo ana maumivu na chuki za kijinga.
Mpina anasema hajaitwa na kamati kusikilizwa, wewe bibi unasema aliitwa, ulikuwepo siku akiitwa utuwekee ushahidi hapa wa picha nasi tuone?

- Ile kamati haikujibu hoja za Mpina, iligusa hapa na pale tu.

Kumbe ni kweli, mtu akizeeka anakuwa na akili za kitoto.
 
Ana maana kwa lipi zaidi?

Eti spika amaemtuhumu, wakati spika kamwambia apeleke ushahidi kama yu mkweli, ni takwa la kisheria za bunge unapomtuhumu kuwa ni muongo.

Huyu sasa nimeamini maneno ya Msukuma, ana matatizo binagsi, tazameni hata macho yake yanaashiria ni mwehu fulani.
Mtu kuambiwa apeleke ushahidi maana yake ni nini kama sio kutuhumiwa? Spika amemtuhumu kusema uongo, ndio maana akataka ushahidi toka kwa Mpina ili athibitishe madai yake.

Bibi unazeeka vibaya. Anyway kwani siku hizi madrasa mnafundishwa ufisadi na kusema uongo?!

Kama umefikia hatua ya kumuamini Msukuma kapimwe akili, Mpina anaenda mahakamani mwambie dadako awapange majaji mapema, ila kama majaji wakisikiliza hiyo kesi fairly, kwa kipengele kimoja tu, kumpa adhabu bila kumsikiliza Mpina, mtaumbuliwa na dadako mapema sana.
 
Mpina kaongea mpaka kajamba, sikiliza dakika 59 sekunde 39.
 
Huyu Tuliya Acksan ni ovyo kabisa. Hawa ndio wenye PhD za .....!
 
Unasifia ujinga? Anajielewa nini, haukusomwa ushahidi alioutowa bungeni na kamati kifungu kwa kifungu, ikawa hakuna ushahidi hata mmoja?

Halafu anasema Spika hajamsikiliza, wakati Spika kumtendea haki kaiambia kamati u-ishughulikie na kama ti imewaita yeye na Bashe, ili isiendeshe hili suaa upande mmoja.

Huyo ana maumivu na chuki za kijinga.
Mpina anawapiga spana Kote kote
 
Ana maana kwa lipi zaidi?

Eti spika amaemtuhumu, wakati spika kamwambia apeleke ushahidi kama yu mkweli, ni takwa la kisheria za bunge unapomtuhumu kuwa ni muongo.

Huyu sasa nimeamini maneno ya Msukuma, ana matatizo binagsi, tazameni hata macho yake yanaashiria ni mwehu fulani.
Mbona nyie ndiye wenye matatizo mkiongozwa na supika et al. Tunawazoom tu na mmeshajisahau sana, hamna tofauti na walevi wa gongo
 
Back
Top Bottom