GE2025 Mpina kwenda ACT Wazalendo ni Plan ya Samia, hii unahitaji kuwa na extra akili kujua hii move. Mpina ni project ya Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Haihitaji akili nyiiingi kutambua kwamba hawa wanaohama kwenda upinzani ama kurudi ccm wote ni wachumia tumbo na waroho wa madaraka
Upo sahihi mkuu, ila wajinga wafia chadema hawatokuelewa, wao kila saa mawazo yao yapo kwa ccm ndo mana kila anayehamia chama kingine anaonekana ni project ya ccm, wameenda mbali mpaka sasa wanamuita mbowe ni project πŸ˜‚
 
Sio Polepole wala mpina wote ni project za chura kiziwa...wangelikuwa wako really kw hayo waliofanya ...basi wangeungana na Watanganyika kudai Reforms.
una ujinga kias. Kwan hawa ambao wako really wameanza kudai hzo reforms lini? wameingia kwenye uchaguzi mara ngap bila hzo reforms?
 
Mpina kweli kama project ila Polepole na gwajiboi sio, hao ni waporipori tu walioamua kukichafua baada ya kuona future yao kisiasa sio nzuri sana na yenye uhakika.
Hao unaosema sio project siku wakihamia vyama vingine bado mtakuja kulialia kuwa ni project πŸ˜‚

Chadema akili hawana, mtu akiwaunga mkono wanamuona huyo ni mwenzao, sasa akihamia chama kingine badala ya chadema ndo wanashtuka πŸ˜‚
 
Labda tuseme hii sinema ni zuga ili kumuweka Lissu mtu kati. Hawa waliokatwa na kukataliwa wangekimbilia Chadema ili kuvuruga mambo huko ila kwa sasa ni kama chadema haitashiriki uchaguzi mkuu. Wacheza muvi wa ccm walioshindwa wanaangalia ni chama gani kina vibe kubwa waende huko kusaka vyeo. Mpina hata aende ACT wazalendo haitakuwa na vibe kubwa, itakuwa kama kwa membe tu
 
Haya asante akili ndefu! Tumesikia mawazo yako.
 
Upo sahihi mkuu, ila wajinga wafia chadema hawatokuelewa, wao kila saa mawazo yao yapo kwa ccm ndo mana kila anayehamia chama kingine anaonekana ni project ya ccm, wameenda mbali mpaka sasa wanamuita mbowe ni project πŸ˜‚
Wewe mawazo yako yote yako wapi, maana unaitaja Chadema zaidi kuliko kitu kingine chochote
 
yani juzi tu mulikua munamshabikia leo kaenda ACT kaw aproject ya Samia, vijana wa chadema bana
 


157 trillion
Kila mwezi 3 trillion za watoto wa wakulima wanalipa kodi zinaenda
kulipa deni kwa kiasi chake

3 trillion less 1.7 trillion deni la taifa,unabaki 1.3
Toa wage bill 900billion
Inabaki 400 billion
Toa mikopo mashangingi service na wasiojulikana,unabaki na ngapi hapo mura.

Movie zote wanaweza lakini hapa kimeturamba buda.
 
Sio kweli, Mpina hawezi kuwa project sababu Mpina ana hasira za masuala kadhaa nayo tunayajua.

Polepole hata mimi nilidhani ni project ila ningeamini kama angebaki na zile hoja za mwanzo, kitendo cha kuzidi kutuhumu mpaka wanamtandao hiyo ni shari kamili
 
Hao unaosema sio project siku wakihamia vyama vingine bado mtakuja kulialia kuwa ni project πŸ˜‚

Chadema akili hawana, mtu akiwaunga mkono wanamuona huyo ni mwenzao, sasa akihamia chama kingine badala ya chadema ndo wanashtuka πŸ˜‚
Kila chama kina DNA ya CCM,na CCM ina DNA ya Msoga,msoga nae ni DP 🌎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…