Mpina na watu wengine wenye kariba kama yake wasisumbuke, ni bora wakae kimya

Maiti haiwezi jitetea na hauwezi kuitetea maiti hata ikichapwa viboko yenyewe haiwezi ona maumivu wala tatizo.

Kuongoza maiti raha sana.
 
Nimesikitika sana na michango ya wabunge juu ya mpina ! Ndio nimeona umuhimu wa kuwa na wapinzani bungeni ! Kwanza hawajielekezi kwenye hoja ! Ni kama wametumwa au wameagizwa kwenda kumshambulia mpina ! Badala ya kujibu hoja wanapambana na mtu ! Nimeamini hatuna bunge kwa sasa ! Bunge la watu wazima ni kama la watoto ! Kichefu chefu na upuuzi huu tungekuwa na ujasiri au na hata robo ya mioyo ya wakenya kuanzia leo asubuhi kungekuwa na maandamano makubwa nje ya bunge kutetea hoja za mpina !! Upungufu wa sukari isiwe uchochoro wa kuvunja Sheria na kufanya upigaji !! Mpina nchi Iko nyuma yako ,! Na watanzania sio vichaa !! Wana kisesa mteteeni mbunge wenu !
 
500 billion inafanya kazi,

Uzuri kabla mpina hajarudi Bungeni wataleta mada ya mfumuko wa bei wenyewe

Mwisho wa ubaya ni Aibu
 
Mpina ni mpumbavu sana
 
Well chadema knew this, wanapigania kizazi kilicho lala.
 
Jaribu uone kilichomtoa kanga manyoya, Mpina ni mpumbavu sana
 
Waache ccm wamalizane wenyewe kwa wenyewe ,mbwa akila mkia wake atajua mwenyewe.
 
Watanzania tuko kama swala! Swala mmoja akikamatwa na simba wengine badala ya kumsaidia wanakimbia na kumwacha.
 
Hata upinzani unaojinasibi unawatetea watanzania wamekaa kimya...Huu ni msiba mzito sana Kwa nchi yetu
 
Kuishi Tanzania ni laana

Tanzania ni nchi ya Amani kwa sababu moja Mwalimu Nyerere alitaifisha ardhi ya Wakoloni na mabeberu akaigawa kwa Watanzania.

Hebu fikiri leo hii wamatumbi,wangoni, Wasukuma , Wamakonde ,wamakua n.k. Wangekua hawana Ardhi ya kulima ili wapate chakula cha kujikimu na mazao ya biashara angalau kidogo ya kuweza hata kununua mfuko wa sementi.

Watu mil.65 leo wangefanya ghasia na fujo kubwa sana kama wangekua hawana ardhi ya kulima. Kwa sababu kwa wingi wa watu na nafasi za ajira ni wazi kuwa vijana wengi wangekosa ajira.

Lakini pia watanzania wengi ni watu walioweza kumiliki nyumba za kuishi hali inayosababisha vijana wengi wanaomaliza vyuo vikuu kuishi kwa wazazi na kula ugali na dagaa na kupata hela ya bando kutoka kwa wapangaji.

Amani ya Tanzania ni zao la Mwalimu Nyerere ambaye ni kama nabii wa Watanganyika.

Kosa kubwa analolifanya Dr.Samia ni kuuza ardhi kwa wageni . Ni wazi kuwa Miaka 20 ijayo Tanganyika itakua na ghasia na virugu kubwa sana iliyoasisiwa na Dr.Samia kwa kigezo cha Misaada na uhuru wa Demokrasia na maendeleo feki yasiyojali future ya wazawa.

Miaka 25 ijayo tutakua tumefikia watu mil. 85 mpaka 100. Wakati huo 20% ya ardhi ikiwa inashikiliwa na watu wasiozidi 20 . Dhambi kubwa na unyama mkubwa na ushetani mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…