Mpina: Sherehe za miaka 48 ya CCM ni kupoteza Fedha. Wenzetu Dubai Wana miaka 40 tu Lakini hatuwafikii kwa chochote!

Mpina: Sherehe za miaka 48 ya CCM ni kupoteza Fedha. Wenzetu Dubai Wana miaka 40 tu Lakini hatuwafikii kwa chochote!

Huyu Mbunge wa Kisesa Mh Luhaga Mpina angehamia Chadema tu mapema iwezekanavyo badala ya kusengenya sengenya kila jambo linalofanywa na CCM

Sasa utalinhanishaje Chama Cha siasa na Dubai

Mpina ni Bure kabisa 🐼
Kuna mara nyingine mtu ambaye yupo desperate kufa anajipitisha pitisha ili umguse waseme unemuua.

Muache ajifie, hakuna kumgusa huyu
 
Mimi mwenyewe Huwa nashangaa sana kuona wanasherehekea miaka kadhaa wakati hakuna kitu Cha maana walichofanya zaidi wamesababisha maisha magumu Kwa watanzania.
Wewe husherehekei Happy Birthday? 🐼
 
EEBBwanaee ! kumbe ukizoea kupewa vyeo siku ukinyimwa unapagawa namna hii.Huko nyuma alivyokuwa Waziri sherehe nyingi amehudhuria na hakuwahi kuongea mambo ya Dubai.Tunaomba Rais amuwahi huyu Kada ni wa CCM ampe chochote mtoto wa watu asije akapata uchizi.
 
Arudishe Kwanza Mali Zote Na Pesa Alizopata Kipindi Nae Anatafuna Kodi Zetu Hapo Ndio Tutamuelewa Lakini Nje Ya Hapo Ni Hadithi Zile Zile Za Siasa Njaa
 
Anaongea ukweli lakini atakatwa na watamfanyia zengwe asirejee Bungeni.
 
Huyu Mbunge wa Kisesa Mh Luhaga Mpina angehamia Chadema tu mapema iwezekanavyo badala ya kusengenya sengenya kila jambo linalofanywa na CCM

Sasa utalinganishaje Chama Cha siasa na Dubai

Mpina ni Bure kabisa 🐼
Msimu wa wabunge kuhama haujafika. Mpaka Bunge livunjwe!
 
Huyu Mbunge wa Kisesa Mh Luhaga Mpina angehamia Chadema tu mapema iwezekanavyo badala ya kusengenya sengenya kila jambo linalofanywa na CCM

Sasa utalinganishaje Chama Cha siasa na Dubai

Mpina ni Bure kabisa 🐼
mpina limbwata la ccm limemshindwa nyie wengine mmelishwa mafi yenu
 
Kuna mara nyingine mtu ambaye yupo desperate kufa anajipitisha pitisha ili umguse waseme unemuua.

Muache ajifie, hakuna kumgusa huyu

..sherehe za miaka 48 wangezifuta wakafanya mambo mengine.

..utakumbuka CCM walifanya mkutano mkuu hukohuko Dodoma mwezi Januari na kuchoma billions of tax payers money.
 
Mimi mwenyewe Huwa nashangaa sana kuona wanasherehekea miaka kadhaa wakati hakuna kitu Cha maana walichofanya zaidi wamesababisha maisha magumu Kwa watanzania.
Wewe sio Mwana CCM ningeshangaa kama usingeshangaa!
 
Wewe husherehekei Happy Birthday? 🐼
Mkuu, kila mtu anayo birthday yake: lakini ni watu wachache sana wanao sheherekea hiyo BIRTH-DAY yao; na hao ni wale tu waliofanyikiwa kimaisha: wale wenye uwezo wa kifedha uliotukuka. Kwa mantiki hiyo: Nchi nazo ni budi ziwe viivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom