Mpina: Sherehe za miaka 48 ya CCM ni kupoteza Fedha. Wenzetu Dubai Wana miaka 40 tu Lakini hatuwafikii kwa chochote!

Huyu Mbunge wa Kisesa Mh Luhaga Mpina angehamia Chadema tu mapema iwezekanavyo badala ya kusengenya sengenya kila jambo linalofanywa na CCM

Sasa utalinganishaje Chama Cha siasa na Dubai

Mpina ni Bure kabisa 🐼
ccccm ni kundi la mchwa
 
Huyu Mbunge wa Kisesa Mh Luhaga Mpina angehamia Chadema tu mapema iwezekanavyo badala ya kusengenya sengenya kila jambo linalofanywa na CCM

Sasa utalinganishaje Chama Cha siasa na Dubai

Mpina ni Bure kabisa 🐼
Mchoma vifaranga atuambie kwao Meatu wapo wapi toka aingie
 
Huyu Mbunge wa Kisesa Mh Luhaga Mpina angehamia Chadema tu mapema iwezekanavyo badala ya kusengenya sengenya kila jambo linalofanywa na CCM

Sasa utalinganishaje Chama Cha siasa na Dubai

Mpina ni Bure kabisa 🐼
Zile sherehe ni kupima speed ya upepo
 
..sherehe za miaka 48 wangezifuta wakafanya mambo mengine.

..utakumbuka CCM walifanya mkutano mkuu hukohuko Dodoma mwezi Januari na kuchoma billions of tax payers money.
Kaushahidi mkuu
 
Back
Top Bottom