Mpina: Sherehe za miaka 48 ya CCM ni kupoteza Fedha. Wenzetu Dubai Wana miaka 40 tu Lakini hatuwafikii kwa chochote!

Huyu Mbunge wa Kisesa Mh Luhaga Mpina angehamia Chadema tu mapema iwezekanavyo badala ya kusengenya sengenya kila jambo linalofanywa na CCM

Sasa utalinganishaje Chama Cha siasa na Dubai

Mpina ni Bure kabisa 🐼
Jo kasema uongo?Ngoja yule Mzee mkali hasema uzembe na omba omba plus siihasaa za uchawa noo.
 
Huyu Mbunge wa Kisesa Mh Luhaga Mpina angehamia Chadema tu mapema iwezekanavyo badala ya kusengenya sengenya kila jambo linalofanywa na CCM

Sasa utalinganishaje Chama Cha siasa na Dubai

Mpina ni Bure kabisa 🐼
Nasikia kwenye kunogesha sherehe za CCM kuna watu walipakwa tope?
 
Huyu Mbunge wa Kisesa Mh Luhaga Mpina angehamia Chadema tu mapema iwezekanavyo badala ya kusengenya sengenya kila jambo linalofanywa na CCM

Sasa utalinganishaje Chama Cha siasa na Dubai

Mpina ni Bure kabisa 🐼
mpinzani ndani ya CCM (self mutilation disorder), uchaguzi ujao atapumzishwa for good
 
..sherehe za miaka 48 wangezifuta wakafanya mambo mengine.

..utakumbuka CCM walifanya mkutano mkuu hukohuko Dodoma mwezi Januari na kuchoma billions of tax payers money.
Ukiambiwa huyu mama wa hovyo watu wana lalamika sana, unafuta sherehe za uhuru wa taifa halafu unapoteza pesa kwenye sherehe zisizo na kichwa wala miguu, na kwa vile ndani ya CCM hakuna mwenye akili wote wamejibatiza uchawa wanaona sawa tu na wanashangilia
 
Huyu mpina ndiyo mtu pekee aliyebaki ambaye anawapa ushauri wa kweli ccm
Huyu mtu wa kupima urefu wa samaki kantinini ana akili gani ya kushauri CCM.

Tungemsikia huyu kuhusu sukari mwaka jana, bei ya sukari ingeluwa imefoka Tsh 10,000 kwa kilo
 
Huyu Mbunge wa Kisesa Mh Luhaga Mpina angehamia Chadema tu mapema iwezekanavyo badala ya kusengenya sengenya kila jambo linalofanywa na CCM

Sasa utalinganishaje Chama Cha siasa na Dubai

Mpina ni Bure kabisa 🐼
UWT mmeguswa, kama una akili timamu huwezi kutumia zaidi ya 10B kwa maazimisho ya kijinga, sahivi serikalini wanalalamika hakuna fedha, fedha zimeenda kwenye mkutano wa CCM na maazimisho tena ndani ya wiki 2. Nenda serikalini kama unadai uone kama utapata malipo.
 
Ukiambiwa huyu mama wa hovyo watu wana lalamika sana, unafuta sherehe za uhuru wa taifa halafu unapoteza pesa kwenye sherehe zisizo na kichwa wala miguu, na kwa vile ndani ya CCM hakuna mwenye akili wote wamejibatiza uchawa wanaona sawa tu na wanashangilia
Hii mikutano miwili watu wamepiga pesa vibaya sn mkuu, matokeo ake hazina hakuna hela, watoa huduma wanadai hawalipwi, imefanyika mikutano miwili ya CCM ndani ya wiki 2 ambayo imetumia zaidi ya 30B, kwa mambo ya kijinga kabisa. ni bure tupu mkuu.
 
..sherehe za miaka 48 wangezifuta wakafanya mambo mengine.

..utakumbuka CCM walifanya mkutano mkuu hukohuko Dodoma mwezi Januari na kuchoma billions of tax payers money.
Pesa zinapigwa balaa mkuu, huyu maza ameanzisha mradi gani mkubwa tangu 2021 zaidi ya mradi wa chawa?
 
Huyu Mbunge wa Kisesa Mh Luhaga Mpina angehamia Chadema tu mapema iwezekanavyo badala ya kusengenya sengenya kila jambo linalofanywa na CCM

Sasa utalinganishaje Chama Cha siasa na Dubai

Mpina ni Bure kabisa 🐼
Anahangaika nini na ccm hari leo

Si Atoke aende huko Dubai? Au ahamie chaumma?
 
Huyu Mbunge wa Kisesa Mh Luhaga Mpina angehamia Chadema tu mapema iwezekanavyo badala ya kusengenya sengenya kila jambo linalofanywa na CCM

Sasa utalinganishaje Chama Cha siasa na Dubai

Mpina ni Bure kabisa 🐼

Akili huna, yanayoendelea Dubai yanaendana na siasa ya chama kinachoongoza wewe pumbavu
 
UWT mmeguswa, kama una akili timamu huwezi kutumia zaidi ya 10B kwa maazimisho ya kijinga, sahivi serikalini wanalalamika hakuna fedha, fedha zimeenda kwenye mkutano wa CCM na maazimisho tena ndani ya wiki 2. Nenda serikalini kama unadai uone kama utapata malipo.
Bajeti ya Mapokezi ya Tundu Lisu Ikungi Singida ni tsh 500m 😀
 
Back
Top Bottom