4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Mpina ni mwana ccm halisi, na anaijua ccm ,sasa kutana na hawa wamiaji haram ndani ya ccm ,wana ka modo sana, wengine hata ccm hawajui ilipatika vipi, katiba ya chama nayo hayajui bola liende tu ,ndo maana yanaburuzwa tu, mengine yajipaka mpaka matope eti wanasherekea ccm
Wengine wameanza kuvaa sijui nguo gani wanaita.
Milembe ipanuliwe mapema sana
Wengine wameanza kuvaa sijui nguo gani wanaita.
Milembe ipanuliwe mapema sana