4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Ahamie dubai sasa!Huyu Mbunge wa Kisesa Mh Luhaga Mpina angehamia Chadema tu mapema iwezekanavyo badala ya kusengenya sengenya kila jambo linalofanywa na CCM
Sasa utalinganishaje Chama Cha siasa na Dubai
Mpina ni Bure kabisa 🐼
Huyu Mbunge wa Kisesa Mh Luhaga Mpina angehamia Chadema tu mapema iwezekanavyo badala ya kusengenya sengenya kila jambo linalofanywa na CCM
Sasa utalinganishaje Chama Cha siasa na Dubai
Mpina ni Bure kabisa 🐼
Yaani kabisa aise !Huyu mpina ndiyo mtu pekee aliyebaki ambaye anawapa ushauri wa kweli ccm
Ni wafujaji wa mali za uma, ukweli usemweHuyu Mbunge wa Kisesa Mh Luhaga Mpina angehamia Chadema tu mapema iwezekanavyo badala ya kusengenya sengenya kila jambo linalofanywa na CCM
Sasa utalinganishaje Chama Cha siasa na Dubai
Mpina ni Bure kabisa 🐼
not now,atahamia baada ya Bunge kuvunjwa!。Huyu Mbunge wa Kisesa Mh Luhaga Mpina angehamia Chadema tu mapema iwezekanavyo
Hii kauli hawapendag kabisa kuambiwa,hvyo futa hii comment kabla wasira hajaionaMimi mwenyewe Huwa nashangaa sana kuona wanasherehekea miaka kadhaa wakati hakuna kitu Cha maana walichofanya zaidi wamesababisha maisha magumu Kwa watanzania.
Don't think so; huyu hahami na akihamia kweli Chadema then nitaamini maneno ya Chahali, the former shushushu wa bongo movienot now,atahamia baada ya Bunge kuvunjwa!。
P
Haami CCM kwasababu haipendi, atahama CCM kwasababu CCM haitamsimamisha Kisesa!Don't think so; huyu hahami na akihamia kweli Chadema then nitaamini maneno ya Chahali, the former shushushu wa bongo movie
Siamini hilo bro, October sio mbali, tutunze risiti hizi kaka. Yule atasimamishwa kwa chama chake na kampeni watampigia, sababu zinajulikana kaka.Haami CCM kwasababu haipendi, atahama CCM kwasababu CCM haitamsimamisha Kisesa!
P
Wapuuzi kila anayesema ukweli ni mpinzani,Huyu Mbunge wa Kisesa Mh Luhaga Mpina angehamia Chadema tu mapema iwezekanavyo badala ya kusengenya sengenya kila jambo linalofanywa na CCM
Sasa utalinganishaje Chama Cha siasa na Dubai
Mpina ni Bure kabisa 🐼
Mpina anataka afukuzwe ili apate kiki/umaarufu wa kuondokea, na CCM wamemkaushia, wanasubiri mpaka wamkate au aondoke mwenyewe.Huyu Mbunge wa Kisesa Mh Luhaga Mpina angehamia Chadema tu mapema iwezekanavyo badala ya kusengenya sengenya kila jambo linalofanywa na CCM
Sasa utalinganishaje Chama Cha siasa na Dubai
Mpina ni Bure kabisa 🐼
Huyu mama yenu ni mfujaji sana sana wa fedha za chama na serikali ,hana kioaombele chochote kwakeHuyu Mbunge wa Kisesa Mh Luhaga Mpina angehamia Chadema tu mapema iwezekanavyo badala ya kusengenya sengenya kila jambo linalofanywa na CCM
Sasa utalinganishaje Chama Cha siasa na Dubai
Mpina ni Bure kabisa 🐼
Hajapona ana hasira na gubu la kulikosa jimbo la kisesa kabla ya uchaguziAfadhari mpina ameanza kupona uginjwa wa akili.Nyie mliobaki mnasafari ndefu sanaa
Yote mpaka Ney wa Mitego??NI kipindi cha mavuno, sasa hivi misanii yote TZ imegeuka kuwa nimi-chawa ya mama yao.
Hili Taifa ni balaa.