Mpina umeteleza, huu siyo wakati wa kuomba huruma ya wananchi, nasimama na Rais Samia

ndo vile

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2023
Posts
573
Reaction score
334
Ziara ya mh Rais mkoani Simiyu imenifumbua macho kuhusu siasa zinazoendelea kuelekea Oktoba 2025.
Kitendo cha Mpina alikaa bungeni zaidi ya miaka 10 kutumia jukwaa la mkutano wa Mh Rais kulalamikia maendeleo ya jimboni kwake kana kwamba yeye si sehemu ya mfumo wa kuyashughulikia kumenishtua.
Kwa kiongozi makini hiyo ilikuwa ni hila ya kisiasa na siyo uhalisia wa utendaji.

Mbunge ana nafasi nyingi za kuelezea hoja zake kuanzia bungeni, kwenye kamati na hata moja kwa moja kwenye wizara husika. Kusubiria Rais aje ndio udai maendeleo kunamaanisha uzembe au hofu ya kuanguka kisiasa.

Mh Rais kumsema mh Mpina siyo kama Mh Rais ana jazba au ana chuki binafsi bali ni uchungu wa kuona wawakilishi wa wananchi wakigeuka watazamaji badala ya watendaji .

Wanaotaka kupanda kupitia mgongo wa Rais wamechelewa, Tanzania tunahitaji viongozi wanatekeleza siyo wanaotafuta huruma mbele ya camera.

Samialization October tunatiki
 
Ziara ya mh Rais mkoani Simiyu imenifumbua macho kuhusu siasa zinazoendelea kuelekea October 2025.
Kitendo cha Mpina alikaa bungeni zaidi ya miaka 10 kutumia jukwaa la mkutano wa Mh Rais kulalamikia maendeleo ya jimboni kwake kana kwamba yeye si sehemu ya mfumo wa kuyashughulikia kumenishtua.
Kwa kiongozi makini iyo ilikuwa ni hila ya kisiasa na siyo uhalisia wa utendaji.

Mbunge Ana nafasi nyingi za kuelezea hoja zake kuanzia bungeni,kwenye kamati na hata moja kwa moja kwenye wizara husika. Kusubiria Rais aje ndo udai maendeleo kuna maanisha uzembe au hofu ya kuanguka kisiasa.

Mh Rais kumsema mh Mpina siyo kama Mh Rais ana jazba au Ana chuki binafsi bali ni uchungu wa kuona wawakilishi wa wananchi wakigeuka watazamaji badala ya watendaji .

Wanaotaka kupanda kupitia mgongo wa Rais wamechelewa ,Tanzania tunahitaji viongozi wanatekeleza siyo wanaotafuta huruma mbele ya camera.

Samialization October tunatiki
Ewe chawa,hurumia kizazi chako…hzo buku 7 hazina msaada baada ya miez 2
 
Ndo keshalalamika sasa! Mpina alitaka kukanusha biashara yenu haramu ya kuhadaa umma kuwa mama yenu hadaiwi.
 
Ni haki yake kulalamika kama ilivyo haki yangu kukosoa malalamiko yake
 
Kwahiyo alitakiwa aimbe sifa mwanzo mwisho asisemee matatizo ya wananchi wake? Kuwa amekuwa kwenye system miaka kumi, what bullshit!! Kwahiyo kwa miaka 10 alitakiwa awe amemaliza matatizo yote ya jimbo lako?
Ana platforms nyingi sana za kuelezea hizo changamoto
 
Ziara ya mh Rais mkoani Simiyu imenifumbua macho kuhusu siasa zinazoendelea kuelekea October 2025.
Kitendo cha Mpina alikaa bungeni zaidi ya miaka 10 kutumia jukwaa la mkutano wa Mh Rais kulalamikia maendeleo ya jimboni kwake kana kwamba yeye si sehemu ya mfumo wa kuyashughulikia kumenishtua.
Kwa kiongozi makini iyo ilikuwa ni hila ya kisiasa na siyo uhalisia wa utendaji.

Mbunge Ana nafasi nyingi za kuelezea hoja zake kuanzia bungeni,kwenye kamati na hata moja kwa moja kwenye wizara husika. Kusubiria Rais aje ndo udai maendeleo kuna maanisha uzembe au hofu ya kuanguka kisiasa.

Mh Rais kumsema mh Mpina siyo kama Mh Rais ana jazba au Ana chuki binafsi bali ni uchungu wa kuona wawakilishi wa wananchi wakigeuka watazamaji badala ya watendaji .

Wanaotaka kupanda kupitia mgongo wa Rais wamechelewa ,Tanzania tunahitaji viongozi wanatekeleza siyo wanaotafuta huruma mbele ya camera.

Samialization October tunatiki
Hivi ni mara ya kwanza Mbunge kueleza shida za jimbo lake kwenye ziara ya viongozi wa kitaifa? Mbona hatujawahi kusikia vijembe kama vya leo?
Semeni tu ukweli, "sindano" za Mpina zimeuma.
 
Back
Top Bottom