- Thread starter
- #21
Kweli kabisa ndiyo mana nimesema leo kateleza,na.kuteleza siyo kuangukaMpina ni moja ya Wabunge wanao Jitahidi kutekeleza Wajibu wao
Kweli kabisa ndiyo mana nimesema leo kateleza,na.kuteleza siyo kuangukaMpina ni moja ya Wabunge wanao Jitahidi kutekeleza Wajibu wao
Sawa ninakujibu nikiwa nimefunga domo languFungal domo!chawa!
we ni mchambuzi wa siasaZiara ya mh Rais mkoani Simiyu imenifumbua macho kuhusu siasa zinazoendelea kuelekea October 2025.
Kitendo cha Mpina alikaa bungeni zaidi ya miaka 10 kutumia jukwaa la mkutano wa Mh Rais kulalamikia maendeleo ya jimboni kwake kana kwamba yeye si sehemu ya mfumo wa kuyashughulikia kumenishtua.
Kwa kiongozi makini iyo ilikuwa ni hila ya kisiasa na siyo uhalisia wa utendaji.
Mbunge Ana nafasi nyingi za kuelezea hoja zake kuanzia bungeni,kwenye kamati na hata moja kwa moja kwenye wizara husika. Kusubiria Rais aje ndo udai maendeleo kuna maanisha uzembe au hofu ya kuanguka kisiasa.
Mh Rais kumsema mh Mpina siyo kama Mh Rais ana jazba au Ana chuki binafsi bali ni uchungu wa kuona wawakilishi wa wananchi wakigeuka watazamaji badala ya watendaji .
Wanaotaka kupanda kupitia mgongo wa Rais wamechelewa ,Tanzania tunahitaji viongozi wanatekeleza siyo wanaotafuta huruma mbele ya camera.
Samialization October tunatiki
Wewe ni kunguni huna jipyaZiara ya mh Rais mkoani Simiyu imenifumbua macho kuhusu siasa zinazoendelea kuelekea October 2025.
Kitendo cha Mpina alikaa bungeni zaidi ya miaka 10 kutumia jukwaa la mkutano wa Mh Rais kulalamikia maendeleo ya jimboni kwake kana kwamba yeye si sehemu ya mfumo wa kuyashughulikia kumenishtua.
Kwa kiongozi makini iyo ilikuwa ni hila ya kisiasa na siyo uhalisia wa utendaji.
Mbunge Ana nafasi nyingi za kuelezea hoja zake kuanzia bungeni,kwenye kamati na hata moja kwa moja kwenye wizara husika. Kusubiria Rais aje ndo udai maendeleo kuna maanisha uzembe au hofu ya kuanguka kisiasa.
Mh Rais kumsema mh Mpina siyo kama Mh Rais ana jazba au Ana chuki binafsi bali ni uchungu wa kuona wawakilishi wa wananchi wakigeuka watazamaji badala ya watendaji .
Wanaotaka kupanda kupitia mgongo wa Rais wamechelewa ,Tanzania tunahitaji viongozi wanatekeleza siyo wanaotafuta huruma mbele ya camera.
Samialization October tunatiki
Kumbe wale wale bwana!!Samialization October tunatiki
Hakuna cha sindano zozoteHivi ni mara ya kwanza Mbunge kueleza shida za jimbo lake kwenye ziara ya viongozi wa kitaifa? Mbona hatujawahi kusikia vijembe kama vya leo?
Semeni tu ukweli, "sindano" za Mpina zimeuma.
Hapana ni mwananchi mpenda maendeleowe ni mchambuzi wa siasa
Wakina naniKumbe wale wale bwana!!
Ukweli upiHampendi kuambiwa ukweli
UchawaPunguzeni uchawa wa kuabudu Watawsla
Haya bossWewe ni kunguni huna jipya
FForm 4 Civics ulipata alama gani ?
Yes jukwaa halikuwa sahihiYeye hajiangalii mwenyewe Kama wewe. Yeye anaona ni sawa jimbo lipate sio mbinafsi Kama wewe. Amesema kilichopo. Sema ndio vile labda amesema kwenye jukwaa ambalo sio sahihi
Acha watifuaane nadhani ndio wanaona nyufaYes jukwaa halikuwa sahihi
MinyukanoAcha watifuaane nadhani ndio wanaona nyufa