Ewe chawa,hurumia kizazi chako…hzo buku 7 hazina msaada baada ya miez 2Ziara ya mh Rais mkoani Simiyu imenifumbua macho kuhusu siasa zinazoendelea kuelekea October 2025.
Kitendo cha Mpina alikaa bungeni zaidi ya miaka 10 kutumia jukwaa la mkutano wa Mh Rais kulalamikia maendeleo ya jimboni kwake kana kwamba yeye si sehemu ya mfumo wa kuyashughulikia kumenishtua.
Kwa kiongozi makini iyo ilikuwa ni hila ya kisiasa na siyo uhalisia wa utendaji.
Mbunge Ana nafasi nyingi za kuelezea hoja zake kuanzia bungeni,kwenye kamati na hata moja kwa moja kwenye wizara husika. Kusubiria Rais aje ndo udai maendeleo kuna maanisha uzembe au hofu ya kuanguka kisiasa.
Mh Rais kumsema mh Mpina siyo kama Mh Rais ana jazba au Ana chuki binafsi bali ni uchungu wa kuona wawakilishi wa wananchi wakigeuka watazamaji badala ya watendaji .
Wanaotaka kupanda kupitia mgongo wa Rais wamechelewa ,Tanzania tunahitaji viongozi wanatekeleza siyo wanaotafuta huruma mbele ya camera.
Samialization October tunatiki
Unachokiamini ww siyo lazima nikiamini mimi binadamu tupo tofautiEwe chawa,hurumia kizazi chako…hzo buku 7 hazina msaada baada ya miez 2
Mbona unalazimisha mpina aamin kama wew unavyo amin?! Chawa.Unachokiamini ww siyo lazima nikiamini mimi binadamu tupo tofauti
Yani kwann chawa siyo mbu,mchwa?Mbona unalazimisha mpina aamin kama wew unavyo amin?! Chawa.
Ndo keshalalamika sasa! Mpina alitaka kukanusha biashara yenu haramu ya kuhadaa umma kuwa mama yenu hadaiwi.Ziara ya mh Rais mkoani Simiyu imenifumbua macho kuhusu siasa zinazoendelea kuelekea October 2025.
Kitendo cha Mpina alikaa bungeni zaidi ya miaka 10 kutumia jukwaa la mkutano wa Mh Rais kulalamikia maendeleo ya jimboni kwake kana kwamba yeye si sehemu ya mfumo wa kuyashughulikia kumenishtua.
Kwa kiongozi makini iyo ilikuwa ni hila ya kisiasa na siyo uhalisia wa utendaji.
Mbunge Ana nafasi nyingi za kuelezea hoja zake kuanzia bungeni,kwenye kamati na hata moja kwa moja kwenye wizara husika. Kusubiria Rais aje ndo udai maendeleo kuna maanisha uzembe au hofu ya kuanguka kisiasa.
Mh Rais kumsema mh Mpina siyo kama Mh Rais ana jazba au Ana chuki binafsi bali ni uchungu wa kuona wawakilishi wa wananchi wakigeuka watazamaji badala ya watendaji .
Wanaotaka kupanda kupitia mgongo wa Rais wamechelewa ,Tanzania tunahitaji viongozi wanatekeleza siyo wanaotafuta huruma mbele ya camera.
Samialization October tunatiki
Ni haki yake kulalamika kama ilivyo haki yangu kukosoa malalamiko yakeNdo keshalalamika sasa! Mpina alitaka kukanusha biashara yenu haramu ya kuhadaa umma kuwa mama yenu hadaiwi.
OkAsante kwa kushiriki
Chawa hawezi jitegemea kwa lolote,lazima awe na sehem ya kunyonya damu!! Ndo wew sasa huna unaloliweza…sifia upate chochote kituYani kwann chawa siyo mbu,mchwa?
Basi kama ndo hivyo sawa mm ni chawaChawa hawezi jitegemea kwa lolote,lazima awe na sehem ya kunyonya damu!! Ndo wew sasa huna unaloliweza…sifia upate chochote kitu
Ni sawa lakini hao wananchi gani walioamua mpaka wakakutuma ww uwasemee? Unauhakika gani wana msimamo mmoja?Ni haki yake kulalamika kama ilivyo haki yangu kukosoa malalamiko yake
Ana platforms nyingi sana za kuelezea hizo changamotoKwahiyo alitakiwa aimbe sifa mwanzo mwisho asisemee matatizo ya wananchi wake? Kuwa amekuwa kwenye system miaka kumi, what bullshit!! Kwahiyo kwa miaka 10 alitakiwa awe amemaliza matatizo yote ya jimbo lako?
Mm ni mwananchi wa jimbo lakeNi sawa lakini hao wananchi gani walioamua mpaka wakakutuma ww uwasemee? Unauhakika gani wana msimamo mmoja?
Kwa hiyo wamekutuma uwasemee?Mm ni mwananchi wa jimbo lake
Hivi ni mara ya kwanza Mbunge kueleza shida za jimbo lake kwenye ziara ya viongozi wa kitaifa? Mbona hatujawahi kusikia vijembe kama vya leo?Ziara ya mh Rais mkoani Simiyu imenifumbua macho kuhusu siasa zinazoendelea kuelekea October 2025.