Mpina umeteleza, huu siyo wakati wa kuomba huruma ya wananchi, nasimama na Rais Samia

we ni mchambuzi wa siasa
 
Yeye hajiangalii mwenyewe Kama wewe. Yeye anaona ni sawa jimbo lipate sio mbinafsi Kama wewe. Amesema kilichopo. Sema ndio vile labda amesema kwenye jukwaa ambalo sio sahihi
 
Wewe ni kunguni huna jipya
 
Hivi ni mara ya kwanza Mbunge kueleza shida za jimbo lake kwenye ziara ya viongozi wa kitaifa? Mbona hatujawahi kusikia vijembe kama vya leo?
Semeni tu ukweli, "sindano" za Mpina zimeuma.
Hakuna cha sindano zozote
 
Yeye hajiangalii mwenyewe Kama wewe. Yeye anaona ni sawa jimbo lipate sio mbinafsi Kama wewe. Amesema kilichopo. Sema ndio vile labda amesema kwenye jukwaa ambalo sio sahihi
Yes jukwaa halikuwa sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…