Mpina unanipa Raha sana

Mpina unanipa Raha sana

Baada ya spika kumwagiza mpina awasilishe ushahudi Kwa Yale aliyosema kuhusu kudharauriwa Kwa maagizi ya Waziri Mkuu, burudani ni kuwa wafugaji wenyewe watimba mjengoni na ushahidi na umewasilishwa Leo, Hadi raha
Safi sana
 
Pipo yu yuuu...mpinaa mpinaa mpinaa mpinaaa
 
'nimeona jina lako kwenye orodha ya wachangiaji, kuna kheri sheikh? Alisikika waziri fulani ambaye mpina alikuwa bosi wake, alipanda juu na kuwa waziri kamili akihofia ni nini mpina anatataka kuchangia hoja wakati alikuwa waziri wa mifugo na alijua mengi, nini asichokijua mpaka atake kuchangia hoja? Mpina anawachachafya mawaziri kila akichangia hoja
 
Umesahau hata msemo wa raha jipe mwenyewe kweli
 
'nimeona jina lako kwenye orodha ya wachangiaji, kuna kheri sheikh? Alisikika waziri fulani ambaye mpina alikuwa bosi wake, alipanda juu na kuwa waziri kamili akihofia ni nini mpina anatataka kuchangia hoja wakati alikuwa waziri wa mifugo na alijua mengi, nini asichokijua mpaka atake kuchangia hoja? Mpina anawachachafya mawaziri kila akichangia hoja
Nimeona bashe amemjibu Kwa jazba sana
 
Baada ya spika kumwagiza mpina awasilishe ushahudi kwa yale aliyosema kuhusu kudharauriwa Kwa maagizi ya Waziri Mkuu, burudani ni kuwa wafugaji wenyewe watimba mjengoni na ushahidi na umewasilishwa Leo.

Hadi raha.
Vipi nawewe unafurahia uporaji aliotufanyia ziwatanganyika?au nawewe unachkia wavuvi halali tena wenyeleseni?hatumpendi mpina hatakama hojayake iwe inaweza kutupatia kilamwananchi m100 hakutupenda alipokuwa waziri Leo anajiosha nini?
 
'nimeona jina lako kwenye orodha ya wachangiaji, kuna kheri sheikh? Alisikika waziri fulani ambaye mpina alikuwa bosi wake, alipanda juu na kuwa waziri kamili akihofia ni nini mpina anatataka kuchangia hoja wakati alikuwa waziri wa mifugo na alijua mengi, nini asichokijua mpaka atake kuchangia hoja? Mpina anawachachafya mawaziri kila akichangia hoja
Ujinga huu sasa Uledi hakutaka Moina achagie hoja kisa tu wamekuwa wizara moja?
 
Baada ya spika kumwagiza mpina awasilishe ushahudi kwa yale aliyosema kuhusu kudharauriwa Kwa maagizi ya Waziri Mkuu, burudani ni kuwa wafugaji wenyewe watimba mjengoni na ushahidi na umewasilishwa Leo.

Hadi raha.
Amekukojoza? Maana hiyo ndiyo raha mtu unaweza kusema mbele za watu
 
Baada ya spika kumwagiza mpina awasilishe ushahudi kwa yale aliyosema kuhusu kudharauriwa Kwa maagizi ya Waziri Mkuu, burudani ni kuwa wafugaji wenyewe watimba mjengoni na ushahidi na umewasilishwa Leo.

Hadi raha.
Akipewa Uwaziri hutakaa umsikie kamwe
 
Vipi nawewe unafurahia uporaji aliotufanyia ziwatanganyika?au nawewe unachkia wavuvi halali tena wenyeleseni?hatumpendi mpina hatakama hojayake iwe inaweza kutupatia kilamwananchi m100 hakutupenda alipokuwa waziri Leo anajiosha nini?
Huo ni utoto! Si kuwa mtu leo akikosea basi ni mbaya siku zote
 
Back
Top Bottom