Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama ni me basi tunamshauri ajikaze 😂Mpina anakupa raha?
Jinsia yako tafadhali
akijibu nitagiMpina anakupa raha?
Jinsia yako tafadhali
Safi sanaBaada ya spika kumwagiza mpina awasilishe ushahudi Kwa Yale aliyosema kuhusu kudharauriwa Kwa maagizi ya Waziri Mkuu, burudani ni kuwa wafugaji wenyewe watimba mjengoni na ushahidi na umewasilishwa Leo, Hadi raha
Pipo yu yuuu...mpinaa mpinaa mpinaa mpinaaaBaada ya spika kumwagiza mpina awasilishe ushahudi Kwa Yale aliyosema kuhusu kudharauriwa Kwa maagizi ya Waziri Mkuu, burudani ni kuwa wafugaji wenyewe watimba mjengoni na ushahidi na umewasilishwa Leo, Hadi raha
Nimeona bashe amemjibu Kwa jazba sana'nimeona jina lako kwenye orodha ya wachangiaji, kuna kheri sheikh? Alisikika waziri fulani ambaye mpina alikuwa bosi wake, alipanda juu na kuwa waziri kamili akihofia ni nini mpina anatataka kuchangia hoja wakati alikuwa waziri wa mifugo na alijua mengi, nini asichokijua mpaka atake kuchangia hoja? Mpina anawachachafya mawaziri kila akichangia hoja
Vipi nawewe unafurahia uporaji aliotufanyia ziwatanganyika?au nawewe unachkia wavuvi halali tena wenyeleseni?hatumpendi mpina hatakama hojayake iwe inaweza kutupatia kilamwananchi m100 hakutupenda alipokuwa waziri Leo anajiosha nini?Baada ya spika kumwagiza mpina awasilishe ushahudi kwa yale aliyosema kuhusu kudharauriwa Kwa maagizi ya Waziri Mkuu, burudani ni kuwa wafugaji wenyewe watimba mjengoni na ushahidi na umewasilishwa Leo.
Hadi raha.
Ujinga huu sasa Uledi hakutaka Moina achagie hoja kisa tu wamekuwa wizara moja?'nimeona jina lako kwenye orodha ya wachangiaji, kuna kheri sheikh? Alisikika waziri fulani ambaye mpina alikuwa bosi wake, alipanda juu na kuwa waziri kamili akihofia ni nini mpina anatataka kuchangia hoja wakati alikuwa waziri wa mifugo na alijua mengi, nini asichokijua mpaka atake kuchangia hoja? Mpina anawachachafya mawaziri kila akichangia hoja
kuna sehemu pameandikwa ulega?Ujinga huu sasa Uledi hakutaka Moina achagie hoja kisa tu wamekuwa wizara moja?
Amekukojoza? Maana hiyo ndiyo raha mtu unaweza kusema mbele za watuBaada ya spika kumwagiza mpina awasilishe ushahudi kwa yale aliyosema kuhusu kudharauriwa Kwa maagizi ya Waziri Mkuu, burudani ni kuwa wafugaji wenyewe watimba mjengoni na ushahidi na umewasilishwa Leo.
Hadi raha.
Akipewa Uwaziri hutakaa umsikie kamweBaada ya spika kumwagiza mpina awasilishe ushahudi kwa yale aliyosema kuhusu kudharauriwa Kwa maagizi ya Waziri Mkuu, burudani ni kuwa wafugaji wenyewe watimba mjengoni na ushahidi na umewasilishwa Leo.
Hadi raha.
Huo ni utoto! Si kuwa mtu leo akikosea basi ni mbaya siku zoteVipi nawewe unafurahia uporaji aliotufanyia ziwatanganyika?au nawewe unachkia wavuvi halali tena wenyeleseni?hatumpendi mpina hatakama hojayake iwe inaweza kutupatia kilamwananchi m100 hakutupenda alipokuwa waziri Leo anajiosha nini?
Nazidi kukueleza, akili yako unaijua mwenyeweAmekukojoza? Maana hiyo ndiyo raha mtu unaweza kusema mbele za watu
mbona mawaziri huwa wanamhaha sana mpina? Kama vipi arudi baraza la mawaziri ili asichangie hoja bungeniNimeona bashe amemjibu Kwa jazba sana