GE2025 Mpina: Wasiishie kumpa mama matumaini tu bali wajiandae na kumpa pole baada ya ACT kuingia Ikulu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
83,659
Reaction score
90,151

Tumedhamiria; na wanaompa matumaini mama, wasiishie kuumpa tu matumaini wajiandae pia kuumpa pole. Kwani anakwenda kushindwa uchaguzi huu." Luhaga Mpina mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo

My Take
Mpina ameamua haachi kitu,CCM jiandaeni kukabidhi Nchi Kwa ACT ya Mpina na Othman.
 
Mark my words,"Mpina akiwa Raisi wa JMT,mimi nahamia Zimbabwe Moja Kwa moja 🤔"
 
View attachment 3438218

Tumedhamiria; na wanaompa matumaini mama, wasiishie kuumpa tu matumaini wajiandae pia kuumpa pole. Kwani anakwenda kushindwa uchaguzi huu." Luhaga Mpina mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo

My Take
Mpina ameamua haachi kitu,CCM jiandaeni kukabidhi Nchi Kwa ACT ya Mpina na Othman.
Kazi maalum. Zitto akiwa hai ACT haiwezi kusafishika na kuaminiwa.
 
Back
Top Bottom