Mwulize Polepole kada mbobevu wa CCM ambaye mnakimbia hoja zake.Wivu wa Chadomo inayokufa

Huyu mjinga anajisahau au umejizima data kwa tume ipi?View attachment 3438218
Tumedhamiria; na wanaompa matumaini mama, wasiishie kuumpa tu matumaini wajiandae pia kuumpa pole. Kwani anakwenda kushindwa uchaguzi huu." Luhaga Mpina mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo
My Take
Mpina ameamua haachi kitu,CCM jiandaeni kukabidhi Nchi Kwa ACT ya Mpina na Othman.
Chadomo mlikuwa mnashinda Kwa tume ipi?Huyu mjinga anajisahau au umejizima data kwa tume ipi?
Hoja zipi zinazokimbiwa?Mwulize Polepole kada mbobevu wa CCM ambaye mnakimbia hoja zake.
Wewe na Mwijaku mna undugu?PLPL ni hajielewi
NdioWewe na Mwijaku mna undugu?
Mpina bado sana .Urais utausikia kwenye redio tuView attachment 3438218
Tumedhamiria; na wanaompa matumaini mama, wasiishie kuumpa tu matumaini wajiandae pia kuumpa pole. Kwani anakwenda kushindwa uchaguzi huu." Luhaga Mpina mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo
My Take
Mpina ameamua haachi kitu,CCM jiandaeni kukabidhi Nchi Kwa ACT ya Mpina na Othman.
Ndiomana akili zenu zimekimbilia kwenye mawowo yenu…!! 😥Ndio
Zako zimekimbilia wapi?Ndiomana akili zenu zimekimbilia kwenye mawowo yenu…!! 😥
Kwenye ubongoZako zimekimbilia wapi?
Ishu sio kuingia chadema ishu ni kwamba hata angebaki ACT ago bee jimbo lake angeshinda hata ccm wangembana vipi ila kwa ushawishi alipokuwa nao jimboni kwake kura zingemwagika hata wangemuibia bado angeibuka Mahindi maana wasingeweza kuiba zote!Ulitaka aingie wapi? Chadomo punguzeni wivu
😳Mimi ni shabiki wa SSH japo siko kwenye circle yake.
Akishoapishwa na kusaini kwa wino wake mwekundu,View attachment 3438218