zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
We si ulikua pro Samia umegeuka tena mara hii? Au na wewe umekatwa jimboni?Baada ya kujifariji

Kwa nini nigeuke? Nimetoa taarifa ya Mpina ambapo ndio siasa zenyewe.We si ulikua pro Samia umegeuka tena mara hii? Au na wewe umekatwa jimboni?
Huyu jamaa alikuwa na msimamo sana katika kusimamia ukweli na alijijengea kuaminika na wapenda haki ila kwa hili la kuingia ACT na kugombea urais wakati anajua fika hawezi kushinda!View attachment 3438218
Tumedhamiria; na wanaompa matumaini mama, wasiishie kuumpa tu matumaini wajiandae pia kuumpa pole. Kwani anakwenda kushindwa uchaguzi huu." Luhaga Mpina mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo
My Take
Mpina ameamua haachi kitu,CCM jiandaeni kukabidhi Nchi Kwa ACT ya Mpina na Othman.
Ulitaka aingie wapi? Chadomo punguzeni wivuHuyu j
Huyu jamaa alikuwa na msimamo sana katika kusimamia ukweli na alijijengea kuaminika na wapenda haki ila kwa hili la kuingia ACT na kugombea urais wakati anajua fika hawezi kushinda!
Nahisi itakuwa aliwekwa chini na mfumo akatulizwa na kuambiwa achague moja apotezwe au akubali kuingia kwenye project ya ACT then baada ya uchaguzi atateuliwa nafasi yoyote
Jamaa akaamua kuufyata ndo akakubali kuwa kwenye hiyo project japo roho inamuuma sana!
Kabisa. Hajielewi, mambo ya siri yeye anayaweka hadharani. Ona alivyotuumbua sisi CCM na vyama vyetu vingine pandikizi. Hata kuhusu Mpina ametuharibia kabisa, watu wamejua mapema kuwa ni mbinu zetu.PLPL ni hajielewi
Chama cha kazi maalum bana🤣🤣🤣View attachment 3438218
Tumedhamiria; na wanaompa matumaini mama, wasiishie kuumpa tu matumaini wajiandae pia kuumpa pole. Kwani anakwenda kushindwa uchaguzi huu." Luhaga Mpina mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo
My Take
Mpina ameamua haachi kitu,CCM jiandaeni kukabidhi Nchi Kwa ACT ya Mpina na Othman.
Mzalendo leo amegeuka mamluki? Au kwasababu hajahamia chadema mkuu?Mamluki huyu kwenye chama cha kimamluki
View attachment 3438218
Tumedhamiria; na wanaompa matumaini mama, wasiishie kuumpa tu matumaini wajiandae pia kuumpa pole. Kwani anakwenda kushindwa uchaguzi huu." Luhaga Mpina mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo
My Take
Mpina ameamua haachi kitu,CCM jiandaeni kukabidhi Nchi Kwa ACT ya Mpina na Othman.
"Kwa CCM haijui Act ni nani" Humphrey pole poleChadomo mna wivu wa nini? Angehamia kwenu asingekuwa mamluki 🤣🤣
Chama cha kazi maalumuMzalendo leo amegeuka mamluki? Au kwasababu hajahamia chadema mkuu?
Huyo mshamba ameshapotea njia.View attachment 3438218
Tumedhamiria; na wanaompa matumaini mama, wasiishie kuumpa tu matumaini wajiandae pia kuumpa pole. Kwani anakwenda kushindwa uchaguzi huu." Luhaga Mpina mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo
My Take
Mpina ameamua haachi kitu,CCM jiandaeni kukabidhi Nchi Kwa ACT ya Mpina na Othman.
Chadomo mnaumia nini Sasa?Huyo mshamba ameshapotea njia.
Wivu wa Chadomo inayokufaACT Chama cha Mpango! Ndivyo Mpina alivyopangiwa na CCM cha Kusema!