ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Chadomo mna wivu wa nini? Angehamia kwenu asingekuwa mamluki ๐คฃ๐คฃMamluki huyu kwenye chama cha kimamluki
Act ni CCM in disguiseChadomo mna wivu wa nini? Angehamia kwenu asingekuwa mamluki ๐คฃ๐คฃ
Hana vigezo vya kuja kwetu mtu mweusiChadomo mna wivu wa nini? Angehamia kwenu asingekuwa mamluki ๐คฃ๐คฃ
Chadema haikumualika na alijua hana nafasi kwenye chadema ya Lissu, haipokei mamluki. Huyu anataka ampelekeshe Samia ili aione nguvu yake amrudishe CCM na cheo kikubwa juu.Chadomo mna wivu wa nini? Angehamia kwenu asingekuwa mamluki ๐คฃ๐คฃ
Wivu,sizitaki mbichi hizi licha ya kuiba ๐๐Hana vigezo vya kuja kwetu mtu mweusi
Baada ya kujifarijiChadema haikumualika na alijua hana nafasi kwenye chadema ya Lissu, haipokei mamluki. Huyu anataka ampelekeshe Samia ili aione nguvu yake amrudishe CCM na cheo kikubwa juu.
My Take
Mpina ameamua haachi kitu,CCM jiandaeni kukabidhi Nchi Kwa ACT ya Mpina na Othman.
View: https://www.instagram.com/reel/DNM7W6lozv1/?igsh=eHh4aG5rdnBqbm5y
My Take
Mpina ameamua haachi kitu,CCM jiandaeni kukabidhi Nchi Kwa ACT ya Mpina na Othman.
View: https://www.instagram.com/reel/DNM7W6lozv1/?igsh=eHh4aG5rdnBqbm5y
PLPL ni hajielewiPolepole kashawasanua wananchi wanakucheka ๐น๐น๐น
Kazi maalum. Zitto akiwa hai ACT haiwezi kusafishika na kuaminiwa.View attachment 3438218
Tumedhamiria; na wanaompa matumaini mama, wasiishie kuumpa tu matumaini wajiandae pia kuumpa pole. Kwani anakwenda kushindwa uchaguzi huu." Luhaga Mpina mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo
My Take
Mpina ameamua haachi kitu,CCM jiandaeni kukabidhi Nchi Kwa ACT ya Mpina na Othman.
Wanaaminika ndio maana unaona Kuna watuKazi maalum. Zitto akiwa hai ACT haiwezi kusafishika na kuaminiwa.