GE2025 Mpina: Wasiishie kumpa mama matumaini tu bali wajiandae na kumpa pole baada ya ACT kuingia Ikulu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
We si ulikua pro Samia umegeuka tena mara hii? Au na wewe umekatwa jimboni?
Kwa nini nigeuke? Nimetoa taarifa ya Mpina ambapo ndio siasa zenyewe.

Mimi ni shabiki wa SSH japo siko kwenye circle yake.
 
Huyu j
Huyu jamaa alikuwa na msimamo sana katika kusimamia ukweli na alijijengea kuaminika na wapenda haki ila kwa hili la kuingia ACT na kugombea urais wakati anajua fika hawezi kushinda!
Nahisi itakuwa aliwekwa chini na mfumo akatulizwa na kuambiwa achague moja apotezwe au akubali kuingia kwenye project ya ACT then baada ya uchaguzi atateuliwa nafasi yoyote
Jamaa akaamua kuufyata ndo akakubali kuwa kwenye hiyo project japo roho inamuuma sana!
 
Ulitaka aingie wapi? Chadomo punguzeni wivu
 
PLPL ni hajielewi
Kabisa. Hajielewi, mambo ya siri yeye anayaweka hadharani. Ona alivyotuumbua sisi CCM na vyama vyetu vingine pandikizi. Hata kuhusu Mpina ametuharibia kabisa, watu wamejua mapema kuwa ni mbinu zetu.
 
Chama cha kazi maalum bana🤣🤣🤣
 

Wasukuma kuna chalatans wengi sana. 😀 😀 😀 😀 😀
 
Wazee wa kulinda kura zao kwa uchungu mkubwa
 
Huyo mshamba ameshapotea njia.
 
ACT Chama cha Mpango! Ndivyo Mpina alivyopangiwa na CCM cha Kusema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…