GE2025 Mpina: Wasiishie kumpa mama matumaini tu bali wajiandae na kumpa pole baada ya ACT kuingia Ikulu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyu mjinga anajisahau au umejizima data kwa tume ipi?
 
Mpina bado sana .Urais utausikia kwenye redio tu
 
Ulitaka aingie wapi? Chadomo punguzeni wivu
Ishu sio kuingia chadema ishu ni kwamba hata angebaki ACT ago bee jimbo lake angeshinda hata ccm wangembana vipi ila kwa ushawishi alipokuwa nao jimboni kwake kura zingemwagika hata wangemuibia bado angeibuka Mahindi maana wasingeweza kuiba zote!
Ila ishu ya kugombea urais eti ashinde hapo hata mtoto mdogo anagundua hilo ni igizo
 
Akishoapishwa na kusaini kwa wino wake mwekundu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…