Mpinga Hayati Magufuli aangua kilio ndani ya treni ya SGR

AENDE AOMBE MSAMAHA KWENYE KABURI LA JPM .HATA TUNDU LISSU NA CHADEMA WATATUMIA SGR KWENDA KUMPONDA HAYATI JPM DAR AU MORO.WANASIASI NI SHIIIDA SANA
 
Sasa ukiwaruhusu watu wakupande kichwani kama pale KENYA nchi itatawalika kweli?
 
AENDE AOMBE MSAMAHA KWENYE KABURI LA JPM .HATA TUNDU LISSU NA CHADEMA WATATUMIA SGR KWENDA KUMPONDA HAYATI JPM DAR AU MORO.WANASIASI NI SHIIIDA SANA

Wanasiasa ni wanafiki sana
 
Ila asee kuna watu wanajua kupika chai dadek yani chai imetiwa viungo kama biriani inanukia had mtaa wa pili 😄😄 HII NI CHAI MKUU
 
Ila asee kuna watu wanajua kupika chai dadek yani chai imetiwa viungo kama biriani inanukia had mtaa wa pili [emoji1][emoji1] HII NI CHAI MKUU

Hata treni ya umeme ulisema ni chai lakini leo watu wanapanda
 
Hata treni ya umeme ulisema ni chai lakini leo watu wanapanda
Mimi lini nilisema SGR ni chai,, hebu niwekee ata screenshot niliposema hayo,, ila hiyo stori ya kwenye sgr ni chai kabisa
 
ni hii tu au umetoa na machapisho mengine maana unajitahidi,unaonekana mtunzi mzuri
 
Shwain KAMFUFUE UZIKWE WEW IVI KUNA MTU ANAWEZA KUMLILIA MUUA WATU KWELI?
 
Mimi lini nilisema SGR ni chai,, hebu niwekee ata screenshot niliposema hayo,, ila hiyo stori ya kwenye sgr ni chai kabisa

Huna akili ndiyo maana hukumbuki
 
Sipendi CCM , Ila Kwa magufuli Huwa naamini alikua ndiyo kiongozi bora zaidi Africa Kwa wakati wake

Ukitaka ujue we ni mjinga au siyo mjinga angalia kama unamkubali Magufuli.

Hapa wewe umefaulu 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…