Mpinga Hayati Magufuli aangua kilio ndani ya treni ya SGR

Ila wanaunga mkono kitendo cha Makamba kujenga mijengo ya mabilioni nchi za nje ambako hatufaidiki na chochote.
 
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
LUMUMBA buku7 Kwa uongo wame fuzu elimu ya juuu
 
Hakuna maendeleo makubwa bila kutumia akili kubwa inayoona mbali. JPM alikuwa na uwezo wa kutazama mbali na pia ushujaa wa sisi tutafanya wacha wao waseme mpaka wachoke.

Hakuwa na negativity kichwani mwake, hakuna nchi makini isiyo na shirika lake la ndege duniani.

Waethiopia kila siku wanakamatwa ndani ya malori wakikatiza kuelekea South Africa lakini wana Ethiopian Airline shirika maarufu na kubwa la ndege duniani. Pambana na negativities kichwani mwako ili uweze kuiona dunia katika mtazamo mpana zaidi.
 

Mpe elimu huyo nyumbu
 
Hata Kenya walikuwa wanashangilia hivyo hivyo baada ya kupata Barabara ya Thika super highway njia 8,Sgr nk wakati wa Kibaki na Uhuru.

Saizi mda wa kulipa madeni umefika wanachinjana,na Tzn shangilieni sana ila mda utakapofika wa kupandishiwa Kodi mlipe Madeni msije kutukana watakaokuwepo Madarakani kipindi hicho.

Mbaya zaidi mwakani wakati CAG analeta taarifa ya hasara msije kutoa povu,hayo mamiradi ya kupigia picha hayajawahi na hayatakuja kuondoa umaskini wa mtu yeyote.Utakamuliwa Kodi Ili kufidia kuyaendesha.

Kenueni sana ,Kuna Kilio pia kinakuja.
 
Bila video ukiwa unamuhoji au unambembeleza ili anyamaze, HUU UTAKUWA NI UZUSHI KAMA UZUSHI MWINGINE TU...!!
 
Sgr watu wanaenda kupigapiga mapicha na kurecord mavideo huku wanakata mauno tu πŸ˜„

Ova
 
Pole yako mjane wa Marehemu!
Unatafutiza tu vihabari vya kulitukuza shetani lenu.
 
Sio yeye peke yake, hata wale vigogo waliomtukana JPM wanajuta kimya kimya. Hakika tumepoteza jembe la uhakika. Sijaona wa kuvaa viatu vyake.
Tena wengi wao ni wa CCM ndio waliokuwa na wanaendelea kumchukia Magufuli sio wa pande ya Chadema πŸ™„πŸ˜³πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…